Sielewi kwanini bado Andrew Chenge na Nimrod Mkono hawajashitakiwa suala la IPTL

Hawa viongozi waandamizi humu nchi wamehusika sana kwa nyadhifa zao katika suala la umeme wa IPTL na madini.

Tumeona kina Kitilya, Mramba, Mgonja na wengine wakifikishwa kwa Pilato kujibu mashitaka kwa matumizi mabaya ya madaraka.

Majuzi TANESCO(soma Serikali), wamepigwa faini ya 1Trillion kutokana na mikataba iliyoridhiwa na Nimrod Mkono. https://allafrica.com/stories/201501051846.html

Kwa upande wake, pamoja na machungu yote ya makenikia, Andrew Chenge ana uhusika.

Hata idara ya Serious Crimes ya Uingereza ilibaini Chenge ana $1million huko benki za nje.Andrew Chenge - Wikipedia

Pamoja na juhudi zote za Serikali, hawa mabwana wanapeta tu.
Idara ya serious fraudulent siyo serious crime.
 
Tumeona kina Kitilya, Mramba, Mgonja na wengine wakifikishwa kwa Pilato kujibu mashitaka kwa matumizi mabaya ya madaraka.

ni lini na wapi Kitilya alifikishwa mahakamani kujibu mashitaka yeyote?

or anybody, for that matter. Nitajie mtu mmoja ambae amefungwa jela awamu hii ya tano, kwa ufisadi.
 
Mambo mengine ni heri kumlilia Mwenye Enzi Mungu aiokoe na kuilinda milele na aiepushe nchi yetu Tanzania na watu kama hawa walahi!
Vita vyetu sio vya mwili na nyama bali vina nguvu zote za Mwenye Enzo Mungu katika roho!
Tumwombe Mola wetu na atatusikia na kutushindia vita za nchi yetu zote walahi!
 
ni lini na wapi Kitilya alifikishwa mahakani kujibu mashitaka yeyote?

or anybody, for that matter. Nitajie mtu mmoja ambae amefungwa jela awamu hii ya tano, kwa ufisadi.
Naamini mkuu ulikuwa nje ya nchi kwa muda mrefu.
 
Mambo mengine ni heri kumlilia Mwenye Enzi Mungu aiokoe na kuilinda milele na aiepushe nchi yetu Tanzania na watu kama hawa walahi!
Vita vyetu sio vya mwili na nyama bali vina nguvu zote za Mwenye Enzo Mungu katika roho!
Tumwombe Mola wetu na atatusikia na kutushindia vita za nchi yetu zote walahi!
Ameen !!
 
Back
Top Bottom