sielewi kama ni ujauzito au ni mabadiliko | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sielewi kama ni ujauzito au ni mabadiliko

Discussion in 'JF Doctor' started by Mtende, Jan 4, 2012.

 1. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #1
  Jan 4, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  jamani mimi always huwa napata period kuanzia tar 29 na mara ya mwisho nilipata period tar 29 mwezi wa 11 so mwezi uliopita sijapata na mpaka sasa sijapata ila naona chuchu zinauma na maziwa yanakua makubwa,nimejaribu kununua tube nikapima ila inaonyesha negative,sasa am in confusion sijielewi kama ni ujauzito au ni mabadiliko ya mwili,msaada tafadhali
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 4, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Nenda kapime hosp kwa uhakika zaidi ili hata ukikuta sio mjamzito waangalie kama una tatizo.
   
 3. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #3
  Jan 4, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  thanks dear ntaenda kucheki
   
 4. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #4
  Jan 4, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  ni bora ukaambukizwa mimba kuliko HBV/HCV na HIV. Tuweni makini jamani,it pains to know that u hav been infected. Na infectivity ya hepatitis ni100 times that of HIV. kipimo huwa kinaanza kuonesha after two wks na ww kuanzia tar 29 mpaka leo bado hazijaisha, somtimes kuna mtu anaweza pitiliza wiki nzima bila kuona siku zake hata kama hana mimba. Hii hutokana na mabadiliko ya kimwili na kimazingira atakayokutana nayo. I hav met a lot of them na w. Gud tm!!....
   
 5. K

  Kolero JF-Expert Member

  #5
  Jan 4, 2012
  Joined: Apr 11, 2010
  Messages: 493
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nina mashaka na vipimo hivyo mnavyonunua Phamarcy, vingi ni feki, binamu yangu alitaka kujiua baada ya kupima na kuona ana mimba kumbe kipimo ni feki, bila majirani kumshauri leo hii angekuwa ame-rest in peace na hata mwaka mpya asingeuona,naomba tuwe tunakwenda hospitali badala ya hivi vipimo, ama nunua waalau aina mbili tofauti vinginevyo hivi vipimo vinaxchaanganya sana.
   
 6. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #6
  Jan 4, 2012
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,918
  Likes Received: 2,068
  Trophy Points: 280
  Kwa nini unahisi ni mimba? Umejamiiana na mwanaume katika kipindi hicho 29/11 - todate? Kama ndiyo, mlitumia kinga ya aina yoyote? Sorry kama ninakuuliza obvious questions!
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Tangu tar 29 Nov mpaka leo wiki mbili hazijapita?
   
 8. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ni bora kwenda kupima hospital kuliko kuhc tu,
   
 9. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Acha ngono zembe mtende
   
 10. Nyalotsi

  Nyalotsi JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2012
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 5,104
  Likes Received: 551
  Trophy Points: 280
  sorry ckuichek hiyo november.
   
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  mimba hiyo
   
 12. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #12
  Jan 4, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hapo tayari, anza mipango ya kiliniki.
   
 13. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #13
  Jan 5, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kukosa menses pekee tena kwa mwezi 1, haimaanishi uko preg. Unaweza ukakosa siku zako kwa sababu mbalimbali km
  matumiz ya dawa za family planning,
  mabadiko ya mazingira,
  magonjwa ya zinaa / HIV.
  Hata woga wa kuwa na mimba unaweza kupelekea ukakosa menses.
  FUATA USHAURI WA KWENDA HOSPITAL.
   
 14. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #14
  Jan 5, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  sina ugonjwa wa zinaa
  situmii vidonge vya majira
  sina uoga wa mimba
  sina HIV
  sijabadilisha mazingira
   
 15. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #15
  Jan 5, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  are u sure ni ngono zembe?
   
 16. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #16
  Jan 5, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  yes nime do mara nyingi without protection thats why am asking
   
 17. MATESLAA

  MATESLAA JF-Expert Member

  #17
  Jan 8, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,252
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  umeshaumii anza kununua nepi,maindi ya kusaga kwajili ya uji wa mtoto
   
Loading...