Sielewi hii clip ya ITV Zanzibar!

ofisa

JF-Expert Member
May 15, 2011
4,205
3,858
Habari,
Kuna kavideo fulani cha kumalizia habari za itv za Zanzibar ambayo huonyesha mloli wa jeshi la kujenga Taifa likiwa na askari wa aina zote mpaka JWTZ. Lkn kombati isiyokuwa ya TZ. Sijui ITV wanatutambulisha vipi nchi ya zanzibar
 
Kumbe Zanzibar ni nchi? basi atakuja msemaji wa nchi yenu kuleta malalamiko rasmi!
 
unajua kuandika kweli!? ni itv za zanzibar au tv za zanzibar?
 
Habari,
Kuna kavideo fulani cha kumalizia habari za itv za Zanzibar ambayo huonyesha mloli wa jeshi la kujenga Taifa likiwa na askari wa aina zote mpaka JWTZ. Lkn kombati isiyokuwa ya TZ. Sijui ITV wanatutambulisha vipi nchi ya zanzibar
Ni shidaaaa
 
Kumbe Zanzibar ni nchi? basi atakuja msemaji wa nchi yenu kuleta malalamiko rasmi!
Sio nchi sababu mnatupangia rais, ni nchi sababu ina bendera yake , ina nembo yake kasoro benk kuu yake na sarafu yake
 
Haina hata sifa ya kuwa mkoa basi tu! Wimbo na nembo hata shilole ana wimbo wake na bado yeye si nchi!
 
Aliemuelewa huyu mkojani anisaidie kunielewasha maana mimi nimerudia kusoma mara 3 lkn sijamuelewa nin anamaanisha au Zanzibar kuna itv inayoitwa itv zanzibar???
 
Huyo kijana wa CUF, huwa anaangalia TV za Zanzibar na kuona lori la JKT na JWTZ wakiwa wamevaa sare ambazo kwa mujibu wake haziiwakilishi Zanzibar.

Sasa anahoji nafasi ya Zanzibar juu ya hizo sare. Yupo kwenye stim bila shaka, ameshindwa kutofautisha television za Zanzibar kama vyombo vinavyojitegemea na ni tofauti na ITV.
 
Nina maanisha habari za itv za mjini zanzibar
 
Back
Top Bottom