Sie tuna noti tano, wenzetu wa Afrika Mashariki wana ngapi?

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Wakuu, ni kama kufahamishana tu kuwa sie tuna noti kama pesa tano yaani ya 500/=, 1000/=, 2000/=, 5000/= na 10000/= sidhani kama tuna noti zaidi ya hapo. Je wenzetu katika nchi za Afrika Mashariki wana ngapi?
Ingependeza kama mtu anazifahamu kwa kila nchi atiririke tafadhari.
 
Mm zote sina mkuu. Hali imekuwa ngumu mno.kama hiyo elfu kumi nimeimiss sana.

Nadhan kenya hawana note ya Elfu 10
 
Back
Top Bottom