SIDO: Ipi kazi yao kwa kipindi cha sasa?

Ndahani

Platinum Member
Jun 3, 2008
18,119
9,049
Zamani SIDO ilikuwa inasimamia na kuendesha viwanda vidogo vidogo ambavyo kwa kweli ni muhimu katika kutia chachu ya maendeleo ya Viwanda vya ndani. Kwa bahati mbaya katika pitapita zangu, sioni hivyo viwanda vidogo vidogo ambayo SIDO inaviendesha zaidi ya kuandaa maonyesho na kuwakaribisha wafanyabiashara wadogo wadogo ambao mara nyingi wanajitutumua bila hata msaada wa sido kutengeneza na kutafuta masoko ya bidhaa zao.
Sasa ipi kazi ya SIDO kwa sasa? Pengine, I miss a point and the guys could be of importance in the economic activities that are around.
Tafadhali wenye mchango na ufahamu wa SIDO ya kipindi hiki inafanya nini wanisaidie!!!
 
Kutoa/kukodisha former workshops into a godowns for ''imported fake chinese goods''!, sehemu zingine wamekodisha kwa wajasiriamali wadogo wadogo kufanya sort of workshop. Tembelea SIDO pugu rd uthibishe
 
Kutoa/kukodisha former workshops into a godowns for ''imported fake chinese goods''!, sehemu zingine wamekodisha kwa wajasiriamali wadogo wadogo kufanya sort of workshop. Tembelea SIDO pugu rd uthibishe
Kama hivyo ndivyo basi wabadili jina maana hawana tena msaada wa kuendeleza viwanda vidogo vidogo. How do they survive? Isije kuwa nayo inategemea ruzuku za serikali. Kuna tabia mbaya ya asasi zinazoendeshwa kwa ruzuku ya serikali kutojituma na kufanikisha malengo ya kuwepo kwake maana piga ua wao wanajua mwisho wa siku hela itatoka kwa walipa kodi no matter what!!
 
Back
Top Bottom