Sidhani kama hlssf wako serious,nahisi ni matapeli wa mjini tu.


Perry

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Messages
10,033
Likes
914
Points
280
Perry

Perry

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2011
10,033 914 280
Inashangaza sana hii NGO,walisema mikopo yao wangeanza kuitoa mapema mwezi wa kumi,lakini mpaka leo wamekua wanawapiga watu danadana tu,leo wamekuja na tangazo linalosema eti mikopo ni mpaka mwezi december mwishon,sasa kweli hawa wanalenga kuwasaidia wanafunz au kuwatapeli tu,huo mkopo unaokuja december mwishon ambapo karibia semister inakwisha,mwanafunz aufanyie nin tena na wkt mkopo ulitakiwa kuja mapema iwezekanavyo ili mwanafunz aweze kugharamia mahitaji yake ya chuo,ukipiga namba zao nazo kutaka ufafanuz hazipokelewi..alafu cha kushangaza wametoa tena muda wa mwezi mmoja kwa wanafunz kuapply tena mikopo hadi 30th december,sasa mie najiuliza hawa jamaa,wanategemea application fees za wanafunzi ili wazitumie kutolea mikopo au ni matapeli,maana haingíi akilini mwanafunzi mpaka leo hajapata huo mkopo na wakati waliahidi wangetoa kuanzia mwezi 10...
 
Perry

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Messages
10,033
Likes
914
Points
280
Perry

Perry

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2011
10,033 914 280
Nyie nao mkome kupapatikia vitu msivokua na uhakika navyo,hao watu hata serikari haiwatambui,nyie ndio mkajifanya kuwashobokea..poleni zenu lakn,ndo mmeishatapeliwa hivo wakuu.
 
zubedayo_mchuzi

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2011
Messages
4,897
Likes
134
Points
160
zubedayo_mchuzi

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Joined Sep 2, 2011
4,897 134 160
Nyie nao mkome kupapatikia vitu msivokua na uhakika navyo,hao watu hata serikari haiwatambui,nyie ndio mkajifanya kuwashobokea..poleni zenu lakn,ndo mmeishatapeliwa hivo wakuu.
Serikali ipi hawaitambui?
 
A

Aman Ng'oma

Verified Member
Joined
Nov 8, 2011
Messages
947
Likes
128
Points
60
A

Aman Ng'oma

Verified Member
Joined Nov 8, 2011
947 128 60
Hawana tofauti na Desi,pamoja na Babu wa Loriondo ,sema watanzania ni wepesi sana kushawishiwa.Kama mtu uko makini ukipitia tovuti yao utagundua tu hawa watu ni wababaishaji.
 
Perry

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Messages
10,033
Likes
914
Points
280
Perry

Perry

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2011
10,033 914 280
Hawana tofauti na Desi,pamoja na Babu wa Loriondo ,sema watanzania ni wepesi sana kushawishiwa.Kama mtu uko makini ukipitia tovuti yao utagundua tu hawa watu ni wababaishaji.
well said mkuu.
 

Forum statistics

Threads 1,235,531
Members 474,641
Posts 29,225,775