medisonmuta
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 2,323
- 1,286
Anaitwa Arthur Benjamin the MathemagicianWhen you come to mental calculations, Operation with numbers, multiplication is the best.
1 by 1 kila mtu anajua(amekalili) màana inahusisha 0-9
Tofauti na 1 by 1 kwenye kuzidisha kwa kutumia mental calcator lazima ujumlishe,
Sasa hapa kuna njia kibao za kujumlisha na kuzidisha ambazo hazifundishwi shuleni (zilikuwa zinatumika kabla ya calcutator kugunduliwa)
Mfano kujumlisha kwa kutumia compliments na kizidisha kwa kutumia jakow Trachtenbergs.
Mtu akifanya kitu ambacho hujui sio kwamba ndio genius hata wewe unaweza ukijifunza, Huyo dogo hajatumia Trachtenberg ndo maana nikasema hilo swali ni rahisi.
78000 x 550 hii ni 2 by 2 (achana na izo sifuri) halafu table ya 5 rahisi kuliko zote.
Hilo swali kafanya sio kwamba kataja tu jibu ila kafanyia kichwani ivi...
78000 x 550
78000 x (500 + 50)
(78000 x 500) + (78000 x 50)
(78000 x1000/2) + (78000 x 100/2)
(78000/2 x 1000) + (78000/2 x100)
Hapa ndo ilitakiwa nianzie ila msingeelewa maana nafanyia kichwani
39000000 + 3900000
42900000
Hizo sifuri ni za kubandika tu zisikuchanganye swali lilikua ka kugawa kwa mbili bandika sifuri na kujumlisha.
Mi ni mwalimu shuleni nafundisha chemistry, nikisolve swali ubaoni nawaachia wanafunzi wazidishe wanangaika lakini mimi nabandika tu jibu, wakawa wanashangaa mimi naizidishaje 3 by 3 digit nambers kichwani! WANANIITA GENIUS LAKINI NIKAWAAMBIA MIMI SIO GENIUS SEMA NAZIDISHA KWA NJIA AMBAYO HAMUIJUI HAIFUNDISHWI SHULENI
mathematics ndo naipenda nafundisha pia ila sitaki kuifundisha maana sipendi kusahihisha wanafunzi ni wengi,
Kilichonishinda ni 5 by 5 na 6 by 6 lakini kuna MATH MAGICIAN
professor of mathematics yeye ANAWEZA anaitwa Uther Benjamin huyu jamaa ni hatari maana mental calculator yake f(x)>991
Dedication
Kuna movie moja Angalieni inaitwa 'Gifted' inahusu mathematics kuna mwalimu alimuona mwanafunzi wake gifted akamwambia anko wake, Anko akajibu huyo dogo ni fala sema anajua tu Trachtenberg wewe hujui, mwenyewe(anko) nilivokua na miaka nane nlikua najua Trachtenberg lakini sikuwa genius.
Nmechoka kutype.. fuk yall