Sibahle Zwane - Mtoto wa miaka 10 genius kwenye Hisabati kutoka Afrika Kusini

When you come to mental calculations, Operation with numbers, multiplication is the best.
1 by 1 kila mtu anajua(amekalili) màana inahusisha 0-9

Tofauti na 1 by 1 kwenye kuzidisha kwa kutumia mental calcator lazima ujumlishe,
Sasa hapa kuna njia kibao za kujumlisha na kuzidisha ambazo hazifundishwi shuleni (zilikuwa zinatumika kabla ya calcutator kugunduliwa)

Mfano kujumlisha kwa kutumia compliments na kizidisha kwa kutumia jakow Trachtenbergs.

Mtu akifanya kitu ambacho hujui sio kwamba ndio genius hata wewe unaweza ukijifunza, Huyo dogo hajatumia Trachtenberg ndo maana nikasema hilo swali ni rahisi.
78000 x 550 hii ni 2 by 2 (achana na izo sifuri) halafu table ya 5 rahisi kuliko zote.

Hilo swali kafanya sio kwamba kataja tu jibu ila kafanyia kichwani ivi...
78000 x 550
78000 x (500 + 50)
(78000 x 500) + (78000 x 50)
(78000 x1000/2) + (78000 x 100/2)

(78000/2 x 1000) + (78000/2 x100)
Hapa ndo ilitakiwa nianzie ila msingeelewa maana nafanyia kichwani
39000000 + 3900000
42900000
Hizo sifuri ni za kubandika tu zisikuchanganye swali lilikua ka kugawa kwa mbili bandika sifuri na kujumlisha.

Mi ni mwalimu shuleni nafundisha chemistry, nikisolve swali ubaoni nawaachia wanafunzi wazidishe wanangaika lakini mimi nabandika tu jibu, wakawa wanashangaa mimi naizidishaje 3 by 3 digit nambers kichwani! WANANIITA GENIUS LAKINI NIKAWAAMBIA MIMI SIO GENIUS SEMA NAZIDISHA KWA NJIA AMBAYO HAMUIJUI HAIFUNDISHWI SHULENI
mathematics ndo naipenda nafundisha pia ila sitaki kuifundisha maana sipendi kusahihisha wanafunzi ni wengi,
Kilichonishinda ni 5 by 5 na 6 by 6 lakini kuna MATH MAGICIAN
professor of mathematics yeye ANAWEZA anaitwa Uther Benjamin huyu jamaa ni hatari maana mental calculator yake f(x)>991

Dedication
Kuna movie moja Angalieni inaitwa 'Gifted' inahusu mathematics kuna mwalimu alimuona mwanafunzi wake gifted akamwambia anko wake, Anko akajibu huyo dogo ni fala sema anajua tu Trachtenberg wewe hujui, mwenyewe(anko) nilivokua na miaka nane nlikua najua Trachtenberg lakini sikuwa genius.

Nmechoka kutype.. fuk yall
Anaitwa Arthur Benjamin the Mathemagician
 
Huyu dogo ni fala tu maana hilo swali alofanya ni jepesi saana.
Mtaalamu wa mental calculation anaitwa " Uther Benjamin " huyu jamaa nlimvulia kofia kwenye mental calculation ni hatari anazidisha hadi 6 x 6 digit numbers sasa huyo dogo kafanya 2 by 2 ila kwa umri wake labda anashangaza.
Khaa, wabongo washenzi sana, una laana wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We bwege wacha ufala,unajifanya mjuaji.Nikuulize kitu?wakati ukiwa na umri wa huyu dogo uliyemuita fala ulikuwa na uwezo wakufanya analofanya?naamini hata mpaka sasa na ukubwa wako na ualimu wako wa maabara huwezi kufanya afanyacho huyu mtoto.Punguza ujuaji kijana

Sent using Jamii Forums mobile app
Anafanya vitu vya kawaida huyo dogo, sema wewe ndo hua hufatilii na huwajui watoto walioshangaza dunia mbona kuna dogo mkorea alikuwa ana solve complex calculus sio huyo anajua kizidisha tu
 
When you come to mental calculations, Operation with numbers, multiplication is the best.
1 by 1 kila mtu anajua(amekalili) màana inahusisha 0-9

Tofauti na 1 by 1 kwenye kuzidisha kwa kutumia mental calcator lazima ujumlishe,
Sasa hapa kuna njia kibao za kujumlisha na kuzidisha ambazo hazifundishwi shuleni (zilikuwa zinatumika kabla ya calcutator kugunduliwa)

Mfano kujumlisha kwa kutumia compliments na kizidisha kwa kutumia jakow Trachtenbergs.

Mtu akifanya kitu ambacho hujui sio kwamba ndio genius hata wewe unaweza ukijifunza, Huyo dogo hajatumia Trachtenberg ndo maana nikasema hilo swali ni rahisi.
78000 x 550 hii ni 2 by 2 (achana na izo sifuri) halafu table ya 5 rahisi kuliko zote.

Hilo swali kafanya sio kwamba kataja tu jibu ila kafanyia kichwani ivi...
78000 x 550
78000 x (500 + 50)
(78000 x 500) + (78000 x 50)
(78000 x1000/2) + (78000 x 100/2)

(78000/2 x 1000) + (78000/2 x100)
Hapa ndo ilitakiwa nianzie ila msingeelewa maana nafanyia kichwani
39000000 + 3900000
42900000
Hizo sifuri ni za kubandika tu zisikuchanganye swali lilikua ka kugawa kwa mbili bandika sifuri na kujumlisha.

Mi ni mwalimu shuleni nafundisha chemistry, nikisolve swali ubaoni nawaachia wanafunzi wazidishe wanangaika lakini mimi nabandika tu jibu, wakawa wanashangaa mimi naizidishaje 3 by 3 digit nambers kichwani! WANANIITA GENIUS LAKINI NIKAWAAMBIA MIMI SIO GENIUS SEMA NAZIDISHA KWA NJIA AMBAYO HAMUIJUI HAIFUNDISHWI SHULENI
mathematics ndo naipenda nafundisha pia ila sitaki kuifundisha maana sipendi kusahihisha wanafunzi ni wengi,
Kilichonishinda ni 5 by 5 na 6 by 6 lakini kuna MATH MAGICIAN
professor of mathematics yeye ANAWEZA anaitwa Arthur Benjamin huyu jamaa ni hatari maana mental calculator yake f(x)>991

Dedication
Kuna movie moja Angalieni inaitwa 'Gifted' inahusu mathematics kuna mwalimu alimuona mwanafunzi wake gifted akamwambia anko wake, Anko akajibu huyo dogo ni fala sema anajua tu Trachtenberg wewe hujui, mwenyewe(anko) nilivokua na miaka nane nlikua najua Trachtenberg lakini sikuwa genius.

Nmechoka kutype.. fuk yall
Kama na wewe umefanya kama huyo dogo basi na wewe ni fala tu.

Huna character za ualimu hata chembe, ndo maana na watoto kila kukicha matusi debe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamwita fala kwa kitu usichoweza.
Yaani kweli jamaa ni wa ajabu hata kwa watoto,sisi wazazi mtoto anaweza kukuchorea kitu cha ajabu na anakuja kwako kukuonesha jinsi alivochora wewe mzazi utaona hakafai kabisa ila inabidi umpongeze na kumpa super credit ila huku ukimtafutia namna bora ya uchoraji mzuri but wewe unaweza shangaa mtoto anakuona kinyago kwa jinsi usivompongeza kwa kujitahidi kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
When you come to mental calculations, Operation with numbers, multiplication is the best.
1 by 1 kila mtu anajua(amekalili) màana inahusisha 0-9

Tofauti na 1 by 1 kwenye kuzidisha kwa kutumia mental calcator lazima ujumlishe,
Sasa hapa kuna njia kibao za kujumlisha na kuzidisha ambazo hazifundishwi shuleni (zilikuwa zinatumika kabla ya calcutator kugunduliwa)

Mfano kujumlisha kwa kutumia compliments na kizidisha kwa kutumia jakow Trachtenbergs.

Mtu akifanya kitu ambacho hujui sio kwamba ndio genius hata wewe unaweza ukijifunza, Huyo dogo hajatumia Trachtenberg ndo maana nikasema hilo swali ni rahisi.
78000 x 550 hii ni 2 by 2 (achana na izo sifuri) halafu table ya 5 rahisi kuliko zote.

Hilo swali kafanya sio kwamba kataja tu jibu ila kafanyia kichwani ivi...
78000 x 550
78000 x (500 + 50)
(78000 x 500) + (78000 x 50)
(78000 x1000/2) + (78000 x 100/2)

(78000/2 x 1000) + (78000/2 x100)
Hapa ndo ilitakiwa nianzie ila msingeelewa maana nafanyia kichwani
39000000 + 3900000
42900000
Hizo sifuri ni za kubandika tu zisikuchanganye swali lilikua ka kugawa kwa mbili bandika sifuri na kujumlisha.

Mi ni mwalimu shuleni nafundisha chemistry, nikisolve swali ubaoni nawaachia wanafunzi wazidishe wanangaika lakini mimi nabandika tu jibu, wakawa wanashangaa mimi naizidishaje 3 by 3 digit nambers kichwani! WANANIITA GENIUS LAKINI NIKAWAAMBIA MIMI SIO GENIUS SEMA NAZIDISHA KWA NJIA AMBAYO HAMUIJUI HAIFUNDISHWI SHULENI
mathematics ndo naipenda nafundisha pia ila sitaki kuifundisha maana sipendi kusahihisha wanafunzi ni wengi,
Kilichonishinda ni 5 by 5 na 6 by 6 lakini kuna MATH MAGICIAN
professor of mathematics yeye ANAWEZA anaitwa Arthur Benjamin huyu jamaa ni hatari maana mental calculator yake f(x)>991

Dedication
Kuna movie moja Angalieni inaitwa 'Gifted' inahusu mathematics kuna mwalimu alimuona mwanafunzi wake gifted akamwambia anko wake, Anko akajibu huyo dogo ni fala sema anajua tu Trachtenberg wewe hujui, mwenyewe(anko) nilivokua na miaka nane nlikua najua Trachtenberg lakini sikuwa genius.

Nmechoka kutype.. fuk yall

Thanks mkuu and fuk you too.
Umeeleza vizuri sana na hongera kwa ujuzi nauelewa wako.
Tukirudi kwa huyu dogo, haudhani anastahili sifa hizo kwa kufanya yote hayo katika umri huo?
 
Back
Top Bottom