Kwanini watu waamini katika siasa ndo watapata maendeleo wakati siasa ni Kazi kama nyingine nao wanasaka tonge.igawa maamuzi yao yanaleta madhara katika jamii.