Siasa zinaua elimu tz. UDSM, SUA, MUHAS zajikongoja, UDOM, MZUMBE bado zinasua sua. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa zinaua elimu tz. UDSM, SUA, MUHAS zajikongoja, UDOM, MZUMBE bado zinasua sua.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by CPA, Jan 9, 2012.

 1. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 734
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Ilipoti kuhusu ubora vya vyuo vikuu afrika, inaonyesha bado UDSM inaongoza njia Tanzania na huku SUA akipitwa na MUHAS.
  UDSM ya 36 africa, 1593 dunian. MUHAS 42 Africa, 1761, SUA ya 45 africa, 1771 dunian.
  MY TAKE. Kulikon Mzumbe mbona kwenye list ya ubora ua haitokei, UDOM Labda kwa vile bado changa. Kwa hari hii inaonyesha vyuo vyetu vinazidi kuporomoka kwa ubora.
  Source: daily news 09/01/2012.
   
 2. Malunkwi

  Malunkwi JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2012
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Heading yako na maelezo havishabiani, Unataka kuujuza umma ubora wa vyuo?? au Ni kwa jinsi gani siasa inashusha ubora wa elimu ktk vyuo vyetu???
   
 3. CPA

  CPA JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2012
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 734
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Ubora, mfano Udsm toka ya 22 mwaka jana mpaka 36. Inapanda inaporomoka
   
 4. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #4
  Jan 9, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Tatizo ni Bodi ya Mikopo na Serikali na si Migomo kama unavyodai, angalia ni nchi gani serikali imepitisha sera mbovu ya elimu kama TZ?...

  Je ina maana Secondary kuna migomo?
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  I think the problem goes beyond the university capability. National leadership, policies, etc are the core reasons for prevalent of this academic disaster
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Jan 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Mkandara ni chanzo cha migogoro udsm

  Wanafunzi wa sasa waoga sana yani me ningekuwa mwanafunzi leo ningelipua makazi ya mkandara hapo,na kuna kipindi ticha flani hapo alikua ananizingua na nilipanga nilipue utawala sema tulienda nae sawa,hawa washenzi dawa yao ni kulipua yani mnashindwa kujioganaiz wanafunzi hata wa5 mkanunua guruneti na kulipua utawala? Kama mbwai mbwai tu hii nchi mbele haitotawalika biliv dat I'm tellin y'all buddiez
   
 7. Danp36

  Danp36 JF-Expert Member

  #7
  Feb 15, 2014
  Joined: Jul 31, 2010
  Messages: 1,606
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Wewe unachanganya madawa yaani wewe ni cpa kweli?,sijaelewa umeandika kwa kuandika ilimradi au vipi.mzumbe haina wanafunzi kama vyuo vingine sababu miundombinu yake selikali haijaiweka sawa ndio maana wanachukua wanafunzi wachache sana na wanatoa course chache uwezi linganisha na udsm au sua ambapo sua ni ma monopoly kwa upande wa kilimo na udsm ni natural monopoly (in term of cost)/mind you high student's level ,the lower cost and the vise versa is true.muhimbili ni mponopoly kwa upande wa udaktari pia ni natural sababu gvt inaweka fund nying kweli.selikali imesahau sana mzumbe,wanajiendesha kikauzu.so selikali ikichangia kupanua ujenzi wa mabweni na kutoa mfuko ili idadi ya malecture iendane na ongezeko la wanafunzi basi utaiona mzumbe top 100.pia mzumbe wanajitahidi sana kuimplement malengo yao lakini support haipo.mimi nilishangaa sana siku mzumbe eti inaomba watu binafsi wajenge mabweni yao wawakodishie wanafunzi maana chuo hakina uwezo,pia wanaweka harambee ya kujenga mabweni wakati selikali iliwekeza sana udsm na muhas kwa sababu ya nature ya course za vipaumbele lakini mzumbe course nyingi si vipaumbele vya selikali.mzumbe ingeangaliwa na selikali kama zamani za idm basi ingekuwa mbali sana.upande wa udom sijaangalia madhaifu kule bali ntafanya uchunguzi nitakuja na sababu sahihi.
   
 8. Danp36

  Danp36 JF-Expert Member

  #8
  Feb 15, 2014
  Joined: Jul 31, 2010
  Messages: 1,606
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  KIJANA ALAFU HIYO TOP 100 NI KWA POPURALITY NA ENROLMENT ACHA KUPOST KWA KUDAKIA NA KUSOMA WEBSITE BILA KUELEWA

  The rankings of Africa’s top higher education institutions is provided by the 4 International Colleges & Universities (4icu). 4icu is an international higher education search engine and directory reviewing accredited Universities and Colleges in the world. 4icu.org includes 11,160 Colleges and Universities, ranked by web popularity, in 200 countries.
  A quick look shows that South African universities dominate the top despite the fact that South Africa ranks very low on the quality of education in the world.

  [​IMG]
  [​IMG]

  6 / 6
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]  University of South Africa


  [TABLE="width: 100%, align: center"]
  [TR]
  [TD]1 University of South Africa[/TD]
  [TD]South Africa
  [/TD]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]2 University of Cape Town[/TD]
  [TD]South Africa
  [/TD]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]3 Universiteit Stellenbosch[/TD]
  [TD]South Africa
  [/TD]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]4 University of Dar es Salaam[/TD]
  [TD]Tanzania
  [/TD]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]5 University of KwaZulu-Natal[/TD]
  [TD]South Africa
  [/TD]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]6 University of Pretoria[/TD]
  [TD]South Africa
  [/TD]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]7 Cairo University[/TD]
  [TD]Egypt
  [/TD]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]8 University of the Witwatersrand[/TD]
  [TD]South Africa
  [/TD]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]9 University of the Western Cape[/TD]
  [TD]South Africa
  [/TD]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]10 Obafemi Awolowo University[/TD]
  [TD]Nigeria
  [/TD]
  [TD][​IMG][/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD]11 Makerere University[/TD]
  [TD]Ugand
  [/TD]
  [/TR]
  [/TABLE]
   
Loading...