Pundit
JF-Expert Member
- Feb 4, 2007
- 3,733
- 123
wewe hapo ndo hujaichambua vizuri na ukaielewa!
Kati yangu mimi ninayesema huwezi kutenganisha siasa na uchumi na wewe unayefikiri kuwa unaweza nani anayeelewa?
Unafahamu concepts za fiscal policy na employment zilivyo katika economy?
Unaweza kutenganisha siasa na uchumi katika economy?
Unaweza kutenganisha siasa na uchumi?