Siasa zina faida gani katika nchi zisipokuwa intergrated na vitu vingine?

Hollo

JF-Expert Member
Apr 21, 2008
827
165
Hivi ni siasa peke yake tu ndo inaifanya nchi iendelee mbele ?
Kwa nini nchini kwetu siasa zinakuwa mediatised sana ?kuna technologia na mambo kama hayo.ila kwa nini sisi tunajikita sana kwenye siasa ?
 
siasa kama ni safi ikiwa integrated na accountability, rule of law, sense of responsibility inaleta maendeleo. Tanzania ina siasa chafu na ndio inarudisha nyuma maendeleo ya Tanzania.
 
Hivi ni siasa peke yake tu ndo inaifanya nchi iendelee mbele ?
Kwa nini nchini kwetu siasa zinakuwa mediatised sana ?kuna technologia na mambo kama hayo.ila kwa nini sisi tunajikita sana kwenye siasa ?

Baadhi ya nchi zimeendelea kwa ajili ya udikteta! Unajua siasa wakti mwingine siyo soolution. But tulipofikia udikteta hautufai tunahitaji siasa bora.
 
Hivi ni siasa peke yake tu ndo inaifanya nchi iendelee mbele ?
Kwa nini nchini kwetu siasa zinakuwa mediatised sana ?kuna technologia na mambo kama hayo.ila kwa nini sisi tunajikita sana kwenye siasa ?

Hollo, kuna ka-definition nakanukuhu hapa chini:

Politics is the means to creating a more organised and peaceful society, by providing methods to resolve conflict that naturally occurs between men, by means of civil discussion and rational compromise. It thus stems the need for violence in tense situations and ultimately looks to avoid the degradation of a community into utter chaos. Authority is the underlying feature of politics and ensures its enforceability.

Power underpins its very existence; it is a prerequisite for politics exist. Without authority, politics simply is not feasible. The most visible and widely accepted example of politics is the workings of the governmental institutions. However, although at first glance one may not be aware of it, politics in its various forms is present wherever and whenever humans form a community. Referring back to the views of Aristotle, politics is an intrinsic feature of mankind.
Full article can be read at source: http://www.allfreeessays.com/student/What_Is_Politics.html

Kwa hiyo Hollo, as long as wewe ni member wa community fulani, ni lazima kuna politics ziko involved. Hata hapa kwenye jamii ya JF tuna politics zetu ambazo kadiri jinsi unavyozidi kushiriki ndivyo kadiri unavyozidi kuzielewa.

Wikipedia nao wanasisitiza hilo, siasa kwenye jamii hazikwepeki. Unless unaishi peke yako kwenye sayari fulani hivi, au umejing'atua na kuishi peke yako kwenye pori fulani hivi..
Wikipedia:

Politics is the process by which groups of people make decisions. The term is generally applied to behavior within civil governments, but politics has been observed in all human group interactions, including corporate, academic, and religious institutions.
Politics consists of "social relations involving authority or power"[1] and refers to the regulation of a political unit, [2] and to the methods and tactics used to formulate and apply policy.[3]
Political science (also political studies) is the study of political behavior and examines the acquisition and application of power. Related areas of study include political philosophy, which seeks a rationale for politics and an ethic of public behavior, and public administration, which examines the practices of governance.
SteveD.
 
Siasa zimezidi tanzania tena siasa za blah blah!itabidi tufanye research ili tupate jibu ni siasa za aina gani zinaendelea kwetu?maana sasa haziendani na definition yake!kama mama
alivyosema siasa chafu!
 
Unaweza kuona kuwa hakuna siasa isiyokuwa integrated, kwa hiyo swali lenyewe liko based kwenye a fallacious assumption.
 
kwa vile ni swali basi hakuna kosa kubase kwenye aina yeyote ya assumption as long as it leads to valid hypothesis.
 
Siasa zimezidi tanzania tena siasa za blah blah!itabidi tufanye research ili tupate jibu ni siasa za aina gani zinaendelea kwetu?maana sasa haziendani na definition yake!kama mama
alivyosema siasa chafu!
Hollo, sawa ni vyema tufanye research, muhimu cha kukumbuka hapa ni kwamba siasa zozote zilijojengeka katika jamii kama inafika wakati hazikubaliki, siasa hizo zinaweza kutenguliwa kwa siasa pekee. Mabadiliko ya siasa yanachukua mkondo wa siasa na takes place in a political environment. As a member in the community, how would you avert your participation in your endeavor to diverge its due course?!

SteveD.
 
kwa vile ni swali basi hakuna kosa kubase kwenye aina yeyote ya assumption as long as it leads to valid hypothesis.

Sorta like the end justifies the means

Swali likishakuwa based kwenye fallacious assumption haliwezi ku lead kwenye valid hypothesis.

Katika Euclidean geometry huwezi kuuliza swali linaloanza na assumption kwamba pembetatu ina nyuzi 360.Swali hili haliwezi kuwa na jibu sahihi.
 
Thank you, unfortunately the question was in political science. to lead to the valid assumption you have to have the right assumption any way.

Have a nice day!
 
Sorta like the end justifies the means

Swali likishakuwa based kwenye wrong assumption haliwezi ku lead kwenye valid hypothesis.

Katika Euclidean geometry huwezi kuuliza swali linaloanza na assumption kwamba pembetatu ina nyuzi 360.Swali hili haliwezi kuwa na jibu sahihi.
je siasa ina faida gani katika nchi isipokuwa intergrated hilo ndo swali!sasa hapo lina wrong assumption kivipi?Wewe unabase kwenye definition sawa na hiyo ndo politic ila isipokuwa intergrated ina done nini?
 
Originally Posted by Pundit
Sorta like the end justifies the means

Swali likishakuwa based kwenye fallacious assumption haliwezi ku lead kwenye valid hypothesis.

Katika Euclidean geometry huwezi kuuliza swali linaloanza na assumption kwamba pembetatu ina nyuzi 360.Swali hili haliwezi kuwa na jibu sahihi.

Thank you, unfortunately the question was in political science.

You fail to appreciate the illustration and take the illustration to be the point.

The point is a question based on fallacious assumption is meaningless.If you cannot understand the question (because it is based on fallacious assumption) how can you provide an answer?

Like the ether or perfect vacuum, the question is an utopic failed and futile exercise in mental juggernauts, like division by zero in real numbers, it is nonsensically conceptual.
 
You fail to appreciate the illustration and take the illustration to be the point.

The point is a question based on fallacious assumption is meaningless.If you cannot understand the question (because it is based on fallacious assumption) how can you provide an answer?
The thing is you do not have the answer for this question!
 
The thing is there is no question, the attempt to frame a question was flatfooted by the fallacious attempt to separate "politics" from that which it is.
 
Back
Top Bottom