utiyansanga
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 214
- 7
Daladala zina uzuri wake ,leo asubuhi nimebahatika kuwasikia watumishi wawili wa wizara ya afya wakimwaga yale yanayowasibu kazini .Walianza kuzungumzia tetesi kuwa waziri wa afya bw. Mponda na mojawapo ya madkt walionyanyaswa na katibu Mkuu Blandina Nyoni ,eti aliwahi kupewa adhabu ya kuhamwishwa kupelekwa uswekeni.Waliendelea kueleza kuwa wanasubiri kuona jeuri ya mama huyo itaishia wapi! Wlienda mbali zaidi kwa kudokeza kuwa Bi Nyoni amwewapelekesha madaktri na watumishi wengine na kuwafanya waishiwe na ari ya kazi,
Walidokeza kuwa licha ya mabo ya ajabu anayofanya mama huyo bado ameendeleakupeta ,walitaja maajabu hayo ni wakubwa kumwacha akifanya kufuru ya matumizi makubwa ya fedha kwenye maonyesho y 77 NA 88 KWA MIAKA MIWILI mfulululizo licha ya huduma za wizara kuwa katika hali mbaya ...
waliotoa mfano wa manunaunzi ya suti 2400 yaliofanyika kupitia duka La Mariedo ambapo @ kila suti iligharimu kiasi cha sh 500,000. na ziliagiwza ulaya bila kufuata sheria! .......
Chondechonde watumishi wa serikali nyamazeni mkiwa kwenye daladala ....mnatumwagia upupu!
Sijui nigesikia mangapi kama ningeendelea na safari hadi mwisho