Siasa za wizara ya afya na ustawi wa jamii! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa za wizara ya afya na ustawi wa jamii!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by utiyansanga, Dec 6, 2010.

 1. u

  utiyansanga JF-Expert Member

  #1
  Dec 6, 2010
  Joined: May 19, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Daladala zina uzuri wake ,leo asubuhi nimebahatika kuwasikia watumishi wawili wa wizara ya afya wakimwaga yale yanayowasibu kazini .Walianza kuzungumzia tetesi kuwa waziri wa afya bw. Mponda na mojawapo ya madkt walionyanyaswa na katibu Mkuu Blandina Nyoni ,eti aliwahi kupewa adhabu ya kuhamwishwa kupelekwa uswekeni.Waliendelea kueleza kuwa wanasubiri kuona jeuri ya mama huyo itaishia wapi! Wlienda mbali zaidi kwa kudokeza kuwa Bi Nyoni amwewapelekesha madaktri na watumishi wengine na kuwafanya waishiwe na ari ya kazi,

  Walidokeza kuwa licha ya mabo ya ajabu anayofanya mama huyo bado ameendeleakupeta ,walitaja maajabu hayo ni wakubwa kumwacha akifanya kufuru ya matumizi makubwa ya fedha kwenye maonyesho y 77 NA 88 KWA MIAKA MIWILI mfulululizo licha ya huduma za wizara kuwa katika hali mbaya ...
  waliotoa mfano wa manunaunzi ya suti 2400 yaliofanyika kupitia duka La Mariedo ambapo @ kila suti iligharimu kiasi cha sh 500,000. na ziliagiwza ulaya bila kufuata sheria! .......
  Chondechonde watumishi wa serikali nyamazeni mkiwa kwenye daladala ....mnatumwagia upupu!
  Sijui nigesikia mangapi kama ningeendelea na safari hadi mwisho
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Dec 6, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Ukuda na Udaku! Nini Tija ya Post kama hii?
   
 3. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #3
  Dec 6, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hii post imekaa kama wimbo wa tarabu! nazani ipo haja ya kulipia uanzishwaji wa sredi hapa JF ili kupunguza idadi ya thread mutation.
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Dec 6, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mengine yanaweza kuwa udaku, lakini hiyo ya suti za mariedo lina ukweli wa aina fulani
   
 5. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #5
  Dec 6, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Haya ni mawazo yako acha kusingizia daladala.

  Kuna watu lazima wanyanyasike ili tufike kule kuzuri tunakotaka. Lazima hapo dili lako la kununua suti sehemu lilipigwa chini.

  kama una dili tafuta vitu quality dili lako halitapa vikwazo. Sio utake cha juu kikubwa.
   
Loading...