SIASA za Vitisho zina Nguvu kuliko hizi siasa za Manunuzi

GUSSIE

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
3,866
11,099
Wanabodi,

Hakuna kitu kizuri kama Maisha ya Amani na Furaha hasa katika ngazi ya familia mpaka ukoo. Neno VITISHO visikie kwa jirani lakini sio nyumbani kwako, Vitisho husababisha msongo wa mawazo, hupelekea maisha ya kutangatanga, Hupelekea mtu kuuza utu wake, Vitisho husababisha familia ikutenge ili kuokoa nafsi binafsi

Hii hama hama kuna mambo mengi nyuma ya pazia wengine wanasema wananunuliwa kwa pesa lakini kuna siku hawa wanaohama watakuja kusema ukweli Vitisho wanavyopata na walivyopata mpaka kuamua kuhama

Chezea kila kitu kwa mwanadamu sio uhai wake, hakuna spare ya uhai unapoambiwa umepewa week moja uchague uhai au kuunga mkono hoja, utaunga mkono hoja ndio maisha ya mwanadamu

Ukweli utabaki ukweli unaweza ukachelewa lakini utabaki ukweli tusiwalaumu hawa watu wanaohama kuwa wamenunuliwa kuna mengi kwa sasa hawataongea, haya yatapita lakini kuna siku ukweli utaacha watu na mshangao mkubwa,
 
Hata akina Mandelea walitishwa lakini mwishowe walifanikiwa.
Hawa wapinzani uchwara wanajiuza wenyewe then wanawapa sababu ya kuhama eti wametishwa.
 
Wanabodi,

Hakuna kitu kizuri kama Maisha ya Amani na Furaha hasa katika ngazi ya familia mpaka ukoo. Neno VITISHO visikie kwa jirani lakini sio nyumbani kwako, Vitisho husababisha msongo wa mawazo, hupelekea maisha ya kutangatanga, Hupelekea mtu kuuza utu wake, Vitisho husababisha familia ikutenge ili kuokoa nafsi binafsi

Hii hama hama kuna mambo mengi nyuma ya pazia wengine wanasema wananunuliwa kwa pesa lakini kuna siku hawa wanaohama watakuja kusema ukweli Vitisho wanavyopata na walivyopata mpaka kuamua kuhama

Chezea kila kitu kwa mwanadamu sio uhai wake, hakuna spare ya uhai unapoambiwa umepewa week moja uchague uhai au kuunga mkono hoja, utaunga mkono hoja ndio maisha ya mwanadamu

Ukweli utabaki ukweli unaweza ukachelewa lakini utabaki ukweli tusiwalaumu hawa watu wanaohama kuwa wamenunuliwa kuna mengi kwa sasa hawataongea, haya yatapita lakini kuna siku ukweli utaacha watu na mshangao mkubwa,
Ujinga huu kwani LEMA na MBOWE hawatishwi?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom