Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,377
- 217,438
yanayoendelea nchi hii ni zaidi ya aibu .
...umetoka povu jingi kama vile wewe ndio msomiii,wakati hata kuandika hujui,eti "hudhuni",ulimbukeni kitu kibaya sana!nakubaliana na wewe ndugu joshua_ok kuwa chuo hiki ndo kichaka cha wanasiasa kupata "vyeti" nashauri wafanye tracer study kung'amua RELEVANCE ya koz wanazotoa. Inahudhunisha!!!
..msamehe bure,kalewa ujinga,anajiona yeye ndio msomi kuliko wote.Mamaye mtoa post
Membe hahitaji post yoyote mbali na Urais. Na kwakuwa kaukosa ametulia anacheki game linavyokwenda...mpeni na mzee Maembe PhD ya heshima maana naona anaweweseka tu baada ya kukosa uteuzi wa Ngosha
Ni moja kati ya chuo cha hovyo kama Treni ya MwakyembeHiki chuo ni kimbilio la vilaza wengi (hasa walio katika siasa) kuhusu tafiti ndo usiseme kabisa maana Title za Andiko la Shahada za Uzamivu ni laini mno utafikiri Makala ya gazeti. Prof. Ndalichako/TCU hebu angalieni hili.
Kwa haraka haraka tu mtu mwenye akili timamu akisoma ulichoandika atagundua kuwa wewe una chuki binafsi na OUT kwa kuwa unaandika vitu vya uongo ndio maana unatumia fake id. Huenda ulifeli hapo OUT ukatimuliwa sasa umeamua kuipaka matope. JK alikuwa ni rais wa nchi kwa miaka 10 na alifanya mengi mazuri japo mabaya pia yapo. Kumtunuku PhD ya heshima si jambo la ajabu wala OUT si wa kwanza kumtunuku.title tu inaonyesha kuwa content ni "tia maji tia maji" yaani huyo mwanafunzi na supervisor wote ni wabovu kupitiliza. Kuthibitisha hili ni NADRA sa
na kukuta walimu na wanafunzi wa Open University wakichapisha MATOKEO ya TAFITI zao kwenye MAJARIDA YA KIMATAIFA YA TAALUMA (International peer-reviewed academic journal). Vigezo vya kupandishwa cheo hapo OUT ndo balaa la karne ukiandika PAMPHLET na makala magazetini (Local newspaper) pamoja na "article" kwenye journal zao "mufilisi" unapanda mpaka kufikia U-profesa, ni hatari sana kwa mustakabali wa taaluma nchini.
** Tena hapo OUT kuna ukabila (UPARE) wa sana, tusitegemee jipya lolote.
huyu ni profesa sio dokta, lakini kwani ni kilaza?Ndo mnawapata watu wa aina ya kina KITILA MKUMBO,mweeeeeee!
ni upuuzi kujidai eti OUT ni ya tatu kwa ubora nchini? Hiv siku hizi vyuo vikuu vinalinganishwa KITAIFA kama sekondari kwenye matokeo ya Mtihani wa kitaifa wa NECTA. Kwa taarifa yako neno University (limetoka kwenye neno UNIVERSAL) so CHUO KIKUU si taasisi ya kitaifa bali ya dunia nzima so usijilangishe na Wachovu wenzako nchini. Na si dhambi OUT kuipita UDSM, MUHAS ama SUA.
Haahhahaaa au wenzangu unaona wivu mh kuramba Phd ya bweleleNimeshangazwa sana na Utoaji wa PhD wa Chuo hiki kikongwe hapa Tanzania (1992-2016). Kwanza aina ya tafiti wanazofanya zinaniacha mdomo wazi kwa mfano Mahafali ya 16 December 2015 mtunukiwaji aliandika "thesis" inaitwa "DETERMINANTS OF SUSTAINABLE FARMERS ORGANIZATIONS IN TANZANIA" na akapewa PhD kilainiii namna hii tutatoboa kweli? Sasa kimbembe kimekuja kwenye Shahada ya Heshima ya jana ndo nimechoka vigezo vilivyotumika kumpatia "mtunukiwaji" eti KUTEMBELEWA NA MARAIS WA DUNIA hivyo anastahili kupewa daah! Inasikitisha. Tafakari.