Siasa za Tanzania

pingu mkoka

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
434
110
Tutapiga makelele oo chama hiki hakifai labda kingeingia hk ingekuwa afadhali.sasa tukae tukijua hata kama kuna chama upinzan kitaingia madarakan tukae tukijua mambo yatakuwa yale yale. watu wanatafuta kula tu kelele zote hizo.
 
Business as usual kama ilivyokuwa Malawi baada ya Kamuzu, Zambia baada ya Kaunda na Kenya baada ya Moi. Hii nadhani inasababishwa na li-mdudu bureaucracy utakuja utawala mpya lakini hili dudu bureaucracy linabaki vilevile na vyama vya siasa (tawala mpya) zinakuwa hazina uwezo wa kulifanya liwe efficient na effective.
 
Tutapiga makelele oo chama hiki hakifai labda kingeingia hk ingekuwa afadhali.sasa tukae tukijua hata kama kuna chama upinzan kitaingia madarakan tukae tukijua mambo yatakuwa yale yale. watu wanatafuta kula tu kelele zote hizo.

Acha umbea wewe...unaongea ujinga kwa confidence kwa umetoka kijijini leo kwa fikra za kuhadithiwa ktk megenge ya ulanzi.
 
utaniona mm mmbeya kln matokeo yake hamuíshi kulalamika nadhan na ww ni mhanga ktk hili.pole sana
 
Back
Top Bottom