Siasa za Tanzania zinatupeleka wapi?

GREAT PJM

New Member
Apr 21, 2012
3
0
Nimeona kupitia vyombo vya habari taarifa kuhusu mauaji ya kiongozi wa chadema huko Arusha, ni jambo la kusikitisha sana ndani ya taifa tunaloliita kisiwa cha amani kufikia hatua ya kuuwana sababu ya tofauti za kiitikadi! Naomba maoni yenu tunaelekea wapi na siasa zetu za Tanzania kisiwa cha amani inayo toweka!
 
Bepari magharibi kwake shangwe tu, ni mipango yao. Nasi ni uzembe wa kuogopa kula ugali nyumbani, na kukimbilia utumwani tulikohaidiwa wali na tambi, tunalishwa pumba sasa. Lakini, Mungu wetu yu tayari kutushindia, anaita sasa.
 
Back
Top Bottom