Siasa za tanzania upuuzi mtupu-funika kombe mshenzi apite | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa za tanzania upuuzi mtupu-funika kombe mshenzi apite

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAKOSHNELI, Jun 4, 2011.

 1. MAKOSHNELI

  MAKOSHNELI JF-Expert Member

  #1
  Jun 4, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 474
  Likes Received: 458
  Trophy Points: 80
  Mimi nimekuwa mfuatiliaji wa siasa za hapa kwetu tz kwa muda mrefu sasa na nimefika hatua nimeamua kutojihusisha wala kushabikia siasa za hapa nchini kwa sababu zifuatazo
  ,kwanza hakuna vyama vya upinzani tz vyote ni vyama vya usalama wa taifa wanaamuliwa lakusema na lakufanya na usalama wa taifa either kuiimarisha ccm au kuiadhibu pindi inapojisahau
  ,pili viongozi wakuu wote wa vyama vya siasa ni usalama wa taifa kwanzia slaa,mbowe,hadi mrema + mtikila so wananchi tunaowashabikia nikama kundi la ng'ombe linalochungwa halina akili
  ,kwa stahili hii nivyema kabla ya kutaka mabadiliko tungekwenda usalama wa taifa kuwaomba wakubali mabadiliko otherwize tutakuwa tunapiga kelele ambazo hazimnyimi usingizi mwenye nyumba!
  Am out
   
 2. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Tafuta visa ukajilipue mbele kwa mbele.Ukiendekeza wanasiasa wa bongo,utakufa haraka kwa ma stress na magonjwa ya moyo!
   
 3. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  mkuu umekasirika sana, kimeharibika nin?
   
 4. Avatar

  Avatar JF Gold Member

  #4
  Jun 5, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 676
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 35
  Interesting....
  Any evidence!?..
  Umejuaje, tupe details... Kama ni kutaja majina kila mtu atataja.
  si ulisema hushabikii, mbn umejijumuisha kwenye kundi hilo unalolifananisha na ng'ombe?
  By the way, as far as i understand u.. anyway nsiseme sana...
  Be brave!..
   
 5. N

  Nkomoji JF-Expert Member

  #5
  Jun 5, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ilikuaje ukaja jukwaa la siasa?au ndo unaaga siasa wakati wewe ni Political animal?
   
 6. rosemarie

  rosemarie JF-Expert Member

  #6
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 6,767
  Likes Received: 1,023
  Trophy Points: 280
  acha matusi,hatuwezi kuingilia uamuzi wako,nenda kapumzike,sisi tutahakikisha hao usalama wa taifa wanan'golewa
  wapambanaji hawakati tamaa bali wanatafuta plan b
   
 7. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Rip......
   
 8. k

  kamalaika Senior Member

  #8
  Jun 5, 2011
  Joined: Mar 16, 2007
  Messages: 187
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  kama ulifanya hiyo research ukapata results. Wewe nenda usalama wa taifa. Kama huna kitu cha maana cha kuandika, soma vya wenzako unaweza kujifunza mengi sana.
   
 9. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  UHURU WA MAWAZO ni mwiko pale mtu atoapo mawazo usiyokubaliana nayo????????
  I ASK YOU GREAT TINKERS.....!
   
Loading...