Asha Ommary
Member
- Sep 1, 2020
- 97
- 90
Ni mara mbili sasa toka asimame jukwaani kuhutubia tangu alipoteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Ndugu Danie G. Chongolo pamoja na Ndugu Shaka Hamdu Shaka wameonekana kupokewa vema katika siasa za Tanzania na Demokrasia yake, Je, nini imani yako juu ya matumaini haya?