Siasa za Tanzania na mitazamo ya chongolo na Shaka

Ilikua kuna haja kuzima sintofahamu iliyokuepo kwa wakati huo, sidhani kama kibajaji akiwa na hoja juu bajeti zinazopitishwa atanyimwa fursa, mbona wengine wanazungumza?
Wao wamwaga shombo nã Kibajaji msafisha shombo. Hujibu shombo inapomwagwa shombo. Kibajaji fagio lá shombo.
 
Back
Top Bottom