Siasa za Tanzania kimwili CCM, kiroho upinzani

Hiyo ndio hali ya Siasa kwa hivi sasa Tanzania.Watu wamerudi kimwili ili walinde Maslahi yao lakini Kiroho wako upande wa pili.Madiwani wanajiuzulu na kujiunga CCM sio kama wanaipenda wanatafuta namna ya kupata Udiwani ,vivyo hivyo na baadhi ya Wabunge.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndiyo siasa ya miaka hii ya Jiwe............

Unamsikia Katibu Mkuu wa CCM "akijimwambafai" na kudai kuwa ukiitwa CCM, ni LAZIMA uitikie wito, ukikataa HUJIPENDI!

Sasa najiuliza hivi hiki chama ndiyo kimekuwa "mlinda uhai" kwa miaka hii?

Tukiunganisha dots tunapata jawabu................

Kumbe tunaowaokota coco beach wakiwa wamefungwa kwenye viroba ni kazi yao?
 
Hata wakiambiwa sharti watolewe watakubali, ilimradi mtu apeleke tonge mdomoni (apate cheo).

Mtu kama Profesa Polepole alivokua na uchu wa kile kiti, sidhani kama atakataa akipewa sharti hilo.
 
Back
Top Bottom