Siasa za Tanzania Bwana

Kasimba G

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,428
2,609
Siasa za Kitanzania hua ni moja kati ya vivutio na maajabu ya dunia!

Ili taifa liende mbele inabidi liwe na watu wenye muono mbele (Vision) na wenye charisma!

Sasa hapa kwetu naona kama charismatic leaders wanawekwa pending ila wenye kujua kujisogeza ndio wanapewa kipaumbele, kama taifa linaweza kuzama kama wenye kujipendekeza ndio watakua masteling!

Kuna tatizo na tunashangawa! kwa maoni yangu taifa lingenda mbele kama tungepata viongozi wenye vission 'without vission people perish' sipendi tuje tuangamie.

Weak.people revange, strong people forgives but intelligent ignores! Tuanze kuwasoma viongozi wetu wako upande gani! are they weak, strong or intelligent? Then tutajua taifa letu linaelekea wapi?
 
Siasa za Kitanzania hua ni mojq kati ya vivutio na maajabu ya dunia!

Ili taifa liende mbele inabidi liwe na watu wenye muono mbele (Vision) na wenye charisma!

Sasa hapa kwetu naona kama charismatic leaders wanawekwa pending ila wenye kujua kujisogeza ndio wanapewa kipaumbele, kama taifa linaweza kuzama kama wenye kujipendekeza ndio watakua masteling!

Kuna tatizo na tunashangawa! kwa maoni yangu taifa lingenda mbele kama tungepata viongozi wenye vission 'without vission people perish' sipendi tuje tuangamie.

Weak.people revange, strong people forgives but intelligent ignores! Tuanze kuwasoma viongozi wetu wako upande gani! are they weak, strong or intelligent? Then tutajua taifa letu linaelekea wapi
Rais yako busy kutimiza ahadi zake sasa hivi na kulisongesha taifa mbele. Na raia wema wote tunamuombea aweze kufanya kazi kwa ari zaidi na nazidi kumpongeza kwa teuzi makini anazozidi kuzifanya. Siasa za maigizo na za kuwageuza watanzania kama chapati nadhani hazina muda tena.
 
labda hizo vision zingeanzia kwa wananchi ili tuchague viongozi wenye vision watakaotengeneza nchi yenye vision.
 
je hayo maneno yanaenda sawa na matendo? Kulijenga taifa huwa ni matendo sio Maneno!
 
labda hizo vision zingeanzia kwa wananchi ili tuchague viongozi wenye vision watakaotengeneza nchi yenye vision.
inawezekana wananchi wanachagua wenye vision ila system inaharibu! matokeo yake tutazama kama taifa kwa manufaa ya wachache!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom