Siasa za Mkurupusho: Makonda hakujua!

"Ukiwa Mkurupushaji; ikifika zamu yako kukurupushwa, usiombe aina ya Mkurupusho. Kaa kimya ili na wao wakukurupushe".
Alijua sana tena sana, lakini anaamini, na mpaka sasa anaamini anasimamiwa na "Baba". Na kweli Baba atamponya!
 
Atakumbuka kuwa ni muhimu kutazama kabla hujatazamwa.
 
Ukiwa unapanda juu ya mnaI wanasema tayarisha mahali pakushukia.Sasa yeye kila mahali kaangushia nao matokeo.yake pakuangukia hakuna.Na kila akiangalia lazima aangukie Nazi.
 
Majuha yanatekenyana
WALIANZISHA ZOEZI LA UHAKIKI WA VYETI FEKI NA LIKAFANYIKA KWA WELEDI MKUBWA NA KWA MSIMAMO THABITI WA KUONDOA WALIOFOJI VETI
ZOEZI LILIFANIKIWA NA TUKATANGAZIWA WATU 19,000 WAMEPATIKANA NA HATUA KALI ZIKACHUKULIWA. KUNA WENGINE WALIKIMBIA WENYEW KWAHIYO INAZIDI IDADI HIYO
*SWALI KWAKO*
1. Je, hao waliofukuzwa kazi walikuwa hawana uthubutu na weledi ktk kazi zao?
2. Kama wengine walifukuzwa na kushitakiwa Bashite yy ni nani mpaka aachwe?
3. Je, sheria ilitungwa kwa kina nani mpaka wengine waachwe?
*unapotunga sheria kwa ajili ya kudhibiti uhalifu basi sheria ichukue mkondo wake na siyo kuleta mambo ya kisiasa.
Je, kiongozi mkubwa yyte akipatikana na madawa ya kulevya na yy aachwe kisa ana uthubutu na confidence ya kufanya kazi?
*WALE WOTE WALIOCHISHWA KAZI KWASBB YA VYETI FEKI WOTE WARUDI KAZINI. ZOEZI LA UHAKIKI WA VYETI FEKI NI UBATILI NA HALINA MAANA*
 
Back
Top Bottom