Siasa za marekani ni za maji taka hasa: Mdahalo wa wagombea kupitia Democrats wanapimwa kuhusu namna wagombea watakavyotetea mashoga na wasagaji.

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,661
18,035
Yaani mgombea anajipinda Kwa hoja jinsi atakavyotetea wasenge na wasagaji na jinsi atakavyopambana na wanaowabagua mashoga na wasagaji hasa taasisi za dini na mataifa yanayopiga vita uchafu huo. Wanasema kabisa watawanyima misaada.
Tumuunge mkono Rais wetu J.P.M anayetuhimiza kujitegemea na kuacha kutegemea misaada. Tuwe na desturi ya kupenda kulipa kodi Kwa uaminifu na tujivunie hilo.
Jisomee mwenyewe hapa BBC: RT
A sunny and friendly atmosphere oozed from CNN screens as Democratic candidates explained at a televised event how they would fight for LGBTQ rights, taking unchallenging questions from the audience, transgender kids included.
Nine Democratic candidates went toe-to-toe at CNN’s LGBTQ town hall event, held in Minnesota, a traditionally Blue state that is arguably the most ‘woke’ in America. The questions asked to each candidate were approximately the same, covering a range of topics including advancing equality through legislation, the price of drugs for HIV treatment, how to deal with religious objections to gay marriage, and public anxieties about receiving blood transfusions from gay people. Of course the trendy topics of transgender children and school bathrooms were also touched upon, with two elementary schoolers asking questions to the 2020 hopefuls.
 
Haya ndio matatizo ya kuwa na maagano, hata kama yeye mwenyewe anaona kuwa it doesn't make any sense, ila hauna option maana unautaka urais, na hicho ndicho kilichomkuta Obama, amejikuta kutwa kuupromote ushoga na usenge.
 
Back
Top Bottom