Nassari na Lema: Tuna ushahidi wa madiwani waliohama wakipokea rushwa, tupo tayari kuwaonyesha TAKUKURU na DCI

usatrumpjr

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
2,237
2,897
Mkutano kuhusu madiwani wanaohama CHADEMA kwenda CCM kumhunga mkono Rais Magufuli.
Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari amesema madiwani waliojiuzulu na kuhamia CCM na kupandishwa jukaani jana na kusema ni kumuunga mkono Rais Magufuli wanadanganya, wamefanya hivyo kuunga mkono rushwa.

Ameendelea kusema ana ushahidi wa madiwani hao wakipokea rushwa na alikuwa nao tangia zamani ila alikuwa anasubiri itokee ilivyotokea jana ili kusema ana ushahidi huo
Ameongezea kuwa madiwani wapya waliojiuzulu walikuwa ni wawili ila mmoja tu ndio alijitokeza jana baada ya mwingine kutafakari na kusita.

Ameongezea rushwa hiyo walipewa kwenye ofisi ya umma na yupo tayari kuupeleka kwa TAKUKURU na DCI endapo watatataka

Naye mbunge Godbless Lema amesema mkuu wa majeshi jana alisema wanajeshi wanatakiwa kukaa mbali na siasa, lakini baadae Rais akawaunganisha wanajeshi kuwa karibu na siasa
Amesema ukiona siasa zinafanyika mbele ya makamishna wa jeshi, mkuu wa majeshi, mkuu wa jeshi la polisi na mkurugenzi wa usalama wa taifa maana yake ni maelekezo huku chini kuwa vyombo vya usalama vilinde chama tawala kwa nguvu zote na kwa maana yake upinzani wana hali mbaya sana
Amesema amelaani kitendo kile cha kuchanganya kazi za jeshi ambazo kiutamaduni hufanyikia kambi za majeshi na jana ikafanyikia pale ikiwa na lengo la kuchukua madiwani wawili na walijua taarifa hizo wakiwa Nairobi

Lema ameongezea kwamba upo ushahidi wa bila shaka wa aliyekuwa anachoma shule Mkoa wa Arusha, amesema imebainika kinagaubaga ni nani alikuwa anachoma shule hizo ilikumhujumu aliyekuwepo
Amesema wataonyesha public kwenye projekta kuonyesha aliyekuwa akichoma shule
Amesema ushahidi huo walikuwa nao kitambo ila na walipanga kuutoa baada ya Lissu kupona ila tukiola jana limewatibua nyongo

Nassari ameongezea fedha walizokuwa wakihongwa zilikuwa zikitoka kwenye mifuko binafsi ya viongozi wanaowahonga na nyingine zilikuwa zikitoka kwenye mifuko ya Halmashauri

Lema namuona yupo humble sana kwa nasari..ikumbukwe lema alikuwa na kiburi kilichopitiliza kwa mamlaka na hata kwa watu ambao ilionekana wametofautiana kiitikadi..wakati nasari akiamini kuwaletea maendeleo ya dhati wana arumeru ambao ndio his motherland, Lema ye alikuwa busy na maandamano yasiyoisha, mikutano na upinzani dhidi ya maafisa wa serikali jijini arusha kabla ya kutupwa korokoroni..hii hali ilimfanya nasari ajiepushe kidogo na siasa za lema kitu ambacho lema hakukipenda..
Leo hii lema amepata fursa nyingine ya kuwa karibu na nasari..sidhani kama atadiriki kuharibu tena huu uhusiano
 
kiukweli Nassari namuelewa.
 
Zile pesa mlizowalipa wale madiwani zimekatwa kodi?
 
Nassari huyu kijana ni smart sana
 
Tanzania maendeleo yanaletwa na mbunge? No wonder tulikataa katiba ya walioba
 
Back
Top Bottom