Siasa za kumtaja Rais na kumsifia kila mahali hadi kwenye michezo zinaisaidiaje nchi?

Nimeshangaa kwenye mechi ya Serengeti boys na Senegal watu wanaimba nyimbo za kumsifia mama!

Upande wa Senegal hawakuwa wakimuimba Rais wao Faye na wameshinda, Kenya huwa wanafanya vizuri sana kwenye michezo mingi duniani lakini huwezi kusikia wakiimba nyumba za kumsifu Uhuru au Ruto, DRC Congo pamoja na kuwa wanafanya vizuri zaidi kuliko sisi sijawahi kusikia wakiingiza siasa za kusifia watawala viwanjani, Timu za Africa zitakazocheza kombe la dunia huwezi kuona haya mambo.

Kwa nini Tanzania imekuwa tofauti hivi na nchi nyingine zote Africa?

Hii ni mojawapo ya legacy mbaya na za hovyo sana za utawala wa JK, tunakuwa kama mazombi, retards na washamba huko duniani.
Gentleman,
kinachotekelezwa hivi sasa na serikali sikivu ya CCM kwa mujibu wa sheria na katiba ya nchi, ni ilani ya uchaguzi ya CCM 2025-2030.

Na,
msimamozi mkuu wa utekelezaji wa vipaumbele vya ilani hiyo ikiwa ni pamoja na sekta ya michezo ni Rais Dr.Samia Suluhu Hassan, kupitia wateule wake eneo hilo.

Unakwepaje kumtaja Dr Samia Suluhu Hassan katika maendeleo ya wananchi kijamii, kisiasa na kiuchumi?🐒
 
Samuya ni Kiazi kamwe hawezi kuwa Dr, acha hadaa komredi!.
 
Nimeshangaa kwenye mechi ya Serengeti boys na Senegal watu wanaimba nyimbo za kumsifia mama!

Upande wa Senegal hawakuwa wakimuimba Rais wao Faye na wameshinda, Kenya huwa wanafanya vizuri sana kwenye michezo mingi duniani lakini huwezi kusikia wakiimba nyumba za kumsifu Uhuru au Ruto, DRC Congo pamoja na kuwa wanafanya vizuri zaidi kuliko sisi sijawahi kusikia wakiingiza siasa za kusifia watawala viwanjani, Timu za Africa zitakazocheza kombe la dunia huwezi kuona haya mambo.

Kwa nini Tanzania imekuwa tofauti hivi na nchi nyingine zote Africa?

Hii ni mojawapo ya legacy mbaya na za hovyo sana za utawala wa JK, tunakuwa kama mazombi, retards na washamba huko duniani.
Rais ana madaraka hata kama hajatajwatajwa kusifiwa na kuabudiwa kinafiki.
Huu upuuzi haukuwepo enzi za JK na kurudi nyuma, ulishamiri zaidi awamu ya tano.
Wanafiki hupitia humo humo hata kumletea madhara Rais mwenyewe.
Muhimu kuelewa, taifa ni watu na serikali au viongozi ni sehemu ndogo tu ya taifa yenye ushawishi na nguvu.
Tuwalinde watu na viongozi wao tukiepusha aina yoyote ya mifarakano.
Kuna msemo, "wapambe nuksi" na sasa iwe, Machawa nuksi kabisa "
 
Nimeshangaa kwenye mechi ya Serengeti boys na Senegal watu wanaimba nyimbo za kumsifia mama!

Upande wa Senegal hawakuwa wakimuimba Rais wao Faye na wameshinda, Kenya huwa wanafanya vizuri sana kwenye michezo mingi duniani lakini huwezi kusikia wakiimba nyumba za kumsifu Uhuru au Ruto, DRC Congo pamoja na kuwa wanafanya vizuri zaidi kuliko sisi sijawahi kusikia wakiingiza siasa za kusifia watawala viwanjani, Timu za Africa zitakazocheza kombe la dunia huwezi kuona haya mambo.

Kwa nini Tanzania imekuwa tofauti hivi na nchi nyingine zote Africa?

Hii ni mojawapo ya legacy mbaya na za hovyo sana za utawala wa JK, tunakuwa kama mazombi, retards na washamba huko duniani.
Bwana nesilia kwenye dressings rooms wazir.alawaombisha vijana wimbo wa kumdifu yy na mamake Nina nimefurahi sans
 
Nimeshangaa kwenye mechi ya Serengeti boys na Senegal watu wanaimba nyimbo za kumsifia mama!

Upande wa Senegal hawakuwa wakimuimba Rais wao Faye na wameshinda, Kenya huwa wanafanya vizuri sana kwenye michezo mingi duniani lakini huwezi kusikia wakiimba nyumba za kumsifu Uhuru au Ruto, DRC Congo pamoja na kuwa wanafanya vizuri zaidi kuliko sisi sijawahi kusikia wakiingiza siasa za kusifia watawala viwanjani, Timu za Africa zitakazocheza kombe la dunia huwezi kuona haya mambo.

Kwa nini Tanzania imekuwa tofauti hivi na nchi nyingine zote Africa?

Hii ni mojawapo ya legacy mbaya na za hovyo sana za utawala wa JK, tunakuwa kama mazombi, retards na washamba huko duniani.
Kuna watu wanakula bata mjini kwa kazi hiyo. Ndiyo kazi ya chawa. Asiyetaka uchawa hafanyiwi hayo, kwasababu ana akili ya kujua praise ipi ni sincere na ipi ni bogus!
 
Wengi walipelekwa na wanasiasa na karibu wote wanamtindio wa ubongo ndiyo maana wanaimba mambo ya Siasa kwenye mpira
 
Samuya ni Kiazi kamwe hawezi kuwa Dr, acha hadaa komredi!.
you can insult or call her names as you wish, but Dr Samia Suluhu Hassan will continue be recognized worldwide as a Doctor because of her revolutionary theories in both economically, politically and socially 🐒
 
Ubaya ni kwamba,wanasiasa wanaibuka baada ya timu kufanya vizuri. Tunataka waziri au mwanasiasa yeyote yule timu ikiwa inashiriki mashindano aanzie hatua ya kwanza mpaka inapokomea. Hii ya kuibua hatua za mwisho ni kuwatoa wachezaji katika reli,ikiwemo hofu,presha ya kuahdiwa pesa ndefu na kadharika hivyo kuwaondoa katika mfumo wa kocha. NAIPENDA TANZANIA.
 
Back
Top Bottom