Siasa za kukamia madaraka zinavyoinyausha na kuipukutisha CHADEMA siku baada ya siku

AUGUSTINO CHIWINGA

JF-Expert Member
Apr 23, 2017
220
689
Hakuna ubishi kwamba Chadema imekamia kupata madaraka kwa gharama yoyote ile ikiwemo kuhalalisha ndoa za jinsia hapa Tanzania.​

Tamaa na uchu huo wa madaraka walionao umewafanya wawe vituko na watu wasio na maana waliojipotezea heshima na kuaminika kwa Wananchi wa Tanzania.

Tabia yao ya kukosoa na kupinga nchi ya Tanzania kupata maendeleo inawachukiza Wananchi walio wengi haswa wakijiuliza ni nini haswa amacho Chadema wangefanya cha tofauti na kinachofanywa na Serikali iliyopo madarakani.

Siasa za kudandiadandia matukio ni mojawapo ya kitu kitakachowanyausha mwaka 2020.Ukiwa mdandiaji wa matukio unakua unakosa agenda zinazoeleweka matokeo yake tukio husikam likiisha na wewe unapotea.Lakini pia Chadema inawachanganya wanachama wake kwa kuwa hawaelewi Sera,Itikadi wala maelngo ya chama hicho.Hii inatoa inatoa mwanya wa kukimbiwa na wanachama na viongozi lakini pia wanakosa wanachama wapya.

Mbinu wanazotumia Chadema katika kuikabili CCM hazitaweza kufua dafu katika msingi mkubwa mmoja, CCM inafanya Siasa safi za maendeleo zinazoshughulika na changamoto za watu ilhali Chadema wamejiegemeza katika kufanya Siasa chafu, za matusi,kejeli, fujo, ulalamishi usio na sababu, uchochezi na uchonganishi wenye nia ya kutaka kuondoa amani utulivu uliotamalaki nchini.

Kifupi Chadema imekua chama cha ubabaishaji.Nilitegemea wangeitumia ngekewa ya kushinda majimbo mengi kama shamba darasa la kuonesha tofauti lakini, wabunge wake wamejigeuza kuwa wabunge wa kitaifa wakiyatelekeza majimbo yao na kuwaacha wapiga kura wao yatima. Si Wabunge si Madiwani wa Chadema wote wamekimbia majukumu na wajibu wao wamebakia na ulalamishi usio na faida.

Dhima ama shabaha ys chama chochote cha siasa ni kuwa na mtaji wa kutosha wa wanachama utakaokiwezesha kushika dola.Kwa maana wanachama ndio uhai wenyewe wa chama. Chadema ndani ya miaka hii mitatu imepukutisha wanachama wapenzi na mashabaiki wengi wasio na idadi kutokana na kuchanganyikiwa kisiasa baada ya kuona Ndg. John Pombe Joseph Magufuli akichapa kazi na kuleta maendeleo kwa kasi ya kipanga hivyo wamepoteza focus na wengine wamebakia kuzurura huko Ulaya wakiombaomba na kuitukana nchi yao.

Tungojee mnyausho wao mtakatifu mwaka 2020.

Augustino Chiwinga
 
Na Augustino Chiwinga​

Mtama –Lindi​

0659438889.​

Hakuna ubishi kwamba Chadema imekamia kupata madaraka kwa gharama yoyote ile ikiwemo kuhalalisha ndoa za jinsia hapa Tanzania.

Hii uliyoandika ni nini barua , waraka , au ???

Why namba za simu ???
 
Kwakuwa unafikiria kwa kutumia hizo tako zako naona weweza mpaka kutabiri yajayo

Punguwan wahed
 
Bingwa wa kuishi kwa matumaini ya kuteuliwa katika ubora wako, na mawasiliano kama kawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa thread. Wahi buk 7 YAKO upate Raha duniani.

Sio kama huyu jamaa hana akili la asha! Huyu jamaa kinachomsumbua ni NJAA tu

Sent using my iPhone using jamiiforum app

Kama ni njaa basi aangalie upande mwingine wa kukidhi njaa maana huu mwaka wa tatu sasa tangu aanze kutuwekea namba simu humu lakini hatuoni matumaini ya kuteuliwa.

Amuige mwenzie Mpendazoe aliyeamua tu kukaa kimya baada ya pumba zake hakuna anayeziona.
 
Na wanakamia kwelikweli, na kukamia kunawacost mbaya, wakaopoa lowasa 2015 baada ya kuona fisadi ana wafuasi, wakamsafisha, sasa kawakimbia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na Augustino Chiwinga​

Mtama –Lindi​

0659438889.​

Hakuna ubishi kwamba Chadema imekamia kupata madaraka kwa gharama yoyote ile ikiwemo kuhalalisha ndoa za jinsia hapa Tanzania.

Tamaa na uchu huo wa madaraka walionao umewafanya wawe vituko na watu wasio na maana waliojipotezea heshima na kuaminika kwa Wananchi wa Tanzania.

Tabia yao ya kukosoa na kupinga nchi ya Tanzania kupata maendeleo inawachukiza Wananchi walio wengi haswa wakijiuliza ni nini haswa amacho Chadema wangefanya cha tofauti na kinachofanywa na Serikali iliyopo madarakani.

Siasa za kudandiadandia matukio ni mojawapo ya kitu kitakachowanyausha mwaka 2020.Ukiwa mdandiaji wa matukio unakua unakosa agenda zinazoeleweka matokeo yake tukio husikam likiisha na wewe unapotea.Lakini pia Chadema inawachanganya wanachama wake kwa kuwa hawaelewi Sera,Itikadi wala maelngo ya chama hicho.Hii inatoa inatoa mwanya wa kukimbiwa na wanachama na viongozi lakini pia wanakosa wanachama wapya.

Mbinu wanazotumia Chadema katika kuikabili CCM hazitaweza kufua dafu katika msingi mkubwa mmoja, CCM inafanya Siasa safi za maendeleo zinazoshughulika na changamoto za watu ilhali Chadema wamejiegemeza katika kufanya Siasa chafu, za matusi,kejeli, fujo, ulalamishi usio na sababu, uchochezi na uchonganishi wenye nia ya kutaka kuondoa amani utulivu uliotamalaki nchini.

Kifupi Chadema imekua chama cha ubabaishaji.Nilitegemea wangeitumia ngekewa ya kushinda majimbo mengi kama shamba darasa la kuonesha tofauti lakini, wabunge wake wamejigeuza kuwa wabunge wa kitaifa wakiyatelekeza majimbo yao na kuwaacha wapiga kura wao yatima. Si Wabunge si Madiwani wa Chadema wote wamekimbia majukumu na wajibu wao wamebakia na ulalamishi usio na faida.

Dhima ama shabaha ys chama chochote cha siasa ni kuwa na mtaji wa kutosha wa wanachama utakaokiwezesha kushika dola.Kwa maana wanachama ndio uhai wenyewe wa chama. Chadema ndani ya miaka hii mitatu imepukutisha wanachama wapenzi na mashabaiki wengi wasio na idadi kutokana na kuchanganyikiwa kisiasa baada ya kuona Ndg. John Pombe Joseph Magufuli akichapa kazi na kuleta maendeleo kwa kasi ya kipanga hivyo wamepoteza focus na wengine wamebakia kuzurura huko Ulaya wakiombaomba na kuitukana nchi yao.

Tungojee mnyausho wao mtakatifu mwaka 2020.

Augustino Chiwinga

Badala ya kutetea mashangazi walipwe korosho zao, we unatabiri ya 2020. Haya sasa furahi na kupiga kelele, Jiwe atangwazwa tena kushinda!
 
"Understood"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unahoja au mifano gani inayothibitisha wapinzani wana siasa za fujo?

Kuna kauli tata nyingi sana za viongozi wa chama tawala walizotamka zinazowahimiza vijana wao mbali na vyombo vya dola kuwashambulia wapinzani na bila kukemewa na yeyote.

Nadhani mwenyekiti Mbowe ni miongoni mwa viongozi wenye ukomavu mkubwa mno wa kisiasa la sivyo tusingekuwa hapa leo kama angekuwa anajibu kauli zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku watoto na wajukuu zenu wataponzwa kwa mawazo yaliyojaa ulafi hasa ulafi unaolenga kushibisha tumbo moja.

Na hata leo tunaponzwa na mikataba mibovu ambayo ni matokeo ya wabunge walafi wa vyama hasa hawa wanaojiita tawala.
Watanzania tuna muda wa kubadilika tuwaweke vijana imara wanaoguswa na matatizo yetu wala tusiwaweke kwa kigezo cha vyama vyao.

Kuna wapumbavu wachache wanataka kuwafanya wajinga. Msikubali.

Kama kijana wa ccm anawawakilisha vizuri mpeni.

Kama wa upinzani anawakilisha vizuri mpeni.

Msimchague mtu kwa sababu ya chama chake ni ujinga na mtalaaniwa na kutukanwa na vizazi vyenu kwa maamuzi pasipo reasoning

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom