Siasa za kinape | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa za kinape

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Geza Ulole, Jul 11, 2011.

 1. Geza Ulole

  Geza Ulole JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Oct 31, 2009
  Messages: 11,073
  Likes Received: 4,006
  Trophy Points: 280
  habari zenu wakuu,

  Nimekuwa mfuatiliaji wa hoja nyingi humu Jamii forums haswa kwenye siasa na nadiriki kusema kuna umuhimu wa kuwa na neno jipya la kumaanisha mrengo fulani wa muhusika katika siasa haswa kama Mhusika anatumia mbinu flani ya chuki au uaguzi wa jamii fulani katika kufikisha hoja! Hivyo basi napendekeza "maneno siasa za kinape" kumaanisha zile siasa zinazihimiza au kushawishi hoja kwa mgongo wa kushambulia, kanda fulani, jamii fulani, kabila fulani au dini fulani! Naomba mchango wenu kiswahili kinakuwa jamani
   
Loading...