chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 11,983
- 20,634
- Thread starter
- #41
Awamu ya tano alisimamia na kuongoza ujambazi wa kisiasa ambao haijawahi kutokea afrika mashariki na katiAkiwa kwenye tume ya Warioba aliwahi kusikika akisema kuna chama bila msaada wa polisi hakiwezi kushinda uchaguzi. Je ameshafikia hiyo topic kwenye shule yake?