Siasa za Kigoma na Wanasiasa wa Kigoma

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,599
3,220
Wanabodi heshima kwenu.

Ukiachana na visiwani kwa bara Kigoma ndio siasa inaongelewa zaidi ktk vijiwe vya kahawa hasa Mitaa Maarufu wa Ujiji na Mwanga Karibia na Zanzibar lodge pamoja na Sebabill.

Mimi nimesoma moja shule kubwa kabisa hapa Tanzania na nilikutana na wanafunzi nguli wakitokea Kigoma. Nilitambua most ni wanasiasa wanajua kujenga hoja halafu niligundua pia ni wabishi.

Sasa nimejaribu kutafakari juu ya miamba hii siasa toka Kigoma kupanda na kushuka kwao nadhani kubadilisha vyama pia kwa maoni yangu wanashika usukani

Mimi naanika majina yao hawa waliomaarufu ili nanyi.mjadili

1: Warid Amani Kabour
2:Zitto Kabwe
3; David Kafulila
4: Machali
5:Mkosamali
6:
7:nk
Wapo wengine.ni.wanasiasa lakini Ulimwengu umewapeleka ktk tasnia ya habari lakini wanachobiri hubiri huko ni siasa.

Ukienda ktk viunga vya Kasulu,Kakonko,Manyovu, Sigunga na Kagunga kuna mahali iliwahi andikwa Kigoma ni Republic. Hiyo Kigoma, Jamii.ya Kigoma.

Una maoni na
Siasa za Kigoma na.Wanasiasa wa Kigoma?
 
89f3fc4efb0ab32895a7e016ec16be26.jpg
 
Umemsahau mwananzengo aliyeamua kuchukua fomu ya Urais
 
Kama unaona haumuhusu Melo jileftishe tu hapa JF

a070577b9140fae753a5b0f6634f3754.jpg

Melo atatoka usihofu ila kwa kutumia sheria acheni uhuni, kwa wapo mawakili nguli then naamini yataisha
Hakuna anayependa jf izimwe.
 
Wanabodi heshima kwenu.

Ukiachana na visiwani kwa bara Kigoma ndio siasa inaongelewa zaidi ktk vijiwe vya kahawa hasa Mitaa Maarufu wa Ujiji na Mwanga Karibia na Zanzibar lodge pamoja na Sebabill.

Mimi nimesoma moja shule kubwa kabisa hapa Tanzania na nilikutana na wanafunzi nguli wakitokea Kigoma. Nilitambua most ni wanasiasa wanajua kujenga hoja halafu niligundua pia ni wabishi.

Sasa nimejaribu kutafakari juu ya miamba hii siasa toka Kigoma kupanda na kushuka kwao nadhani kubadilisha vyama pia kwa maoni yangu wanashika usukani

Mimi naanika majina yao hawa waliomaarufu ili nanyi.mjadili

1: Warid Amani Kabour
2:Zitto Kabwe
3; David Kafulila
4: Machali
5:Mkosamali
6:
7:nk
Wapo wengine.ni.wanasiasa lakini Ulimwengu umewapeleka ktk tasnia ya habari lakini wanachobiri hubiri huko ni siasa.

Ukienda ktk viunga vya Kasulu,Kakonko,Manyovu, Sigunga na Kagunga kuna mahali iliwahi andikwa Kigoma ni Republic. Hiyo Kigoma, Jamii.ya Kigoma.

Una maoni na
Siasa za Kigoma na.Wanasiasa wa Kigoma?

Hebu rudia kusoma hiki ulicholeta hapa jukwaani,nimesoma hoja yako zaidi ya mara nne lakini sijajuwa hasa ulikusudia kufikisha ujumbe gani kupitia hoja yako kabla ya wewe kuhitaji maoni yetu.
 
Back
Top Bottom