Siasa za Kigoma na Wanasiasa wa Kigoma

spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,491
2,000
Wanabodi heshima kwenu.

Ukiachana na visiwani kwa bara Kigoma ndio siasa inaongelewa zaidi ktk vijiwe vya kahawa hasa Mitaa Maarufu wa Ujiji na Mwanga Karibia na Zanzibar lodge pamoja na Sebabill.

Mimi nimesoma moja shule kubwa kabisa hapa Tanzania na nilikutana na wanafunzi nguli wakitokea Kigoma. Nilitambua most ni wanasiasa wanajua kujenga hoja halafu niligundua pia ni wabishi.

Sasa nimejaribu kutafakari juu ya miamba hii siasa toka Kigoma kupanda na kushuka kwao nadhani kubadilisha vyama pia kwa maoni yangu wanashika usukani

Mimi naanika majina yao hawa waliomaarufu ili nanyi.mjadili

1: Warid Amani Kabour
2:Zitto Kabwe
3; David Kafulila
4: Machali
5:Mkosamali
6:
7:nk
Wapo wengine.ni.wanasiasa lakini Ulimwengu umewapeleka ktk tasnia ya habari lakini wanachobiri hubiri huko ni siasa.

Ukienda ktk viunga vya Kasulu,Kakonko,Manyovu, Sigunga na Kagunga kuna mahali iliwahi andikwa Kigoma ni Republic. Hiyo Kigoma, Jamii.ya Kigoma.

Una maoni na
Siasa za Kigoma na.Wanasiasa wa Kigoma?
 
ZILLAHENDER MPEMA

JF-Expert Member
Apr 4, 2015
2,057

Siasa za Kigoma na.Wanasiasa wa Kigoma?Hebu rudia kusoma hiki ulicholeta hapa jukwaani,nimesoma hoja yako zaidi ya mara nne lakini sijajuwa hasa ulikusudia kufikisha ujumbe gani kupitia hoja yako kabla ya wewe kuhitaji maoni yetu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom