Freyzem
JF-Expert Member
- Jun 29, 2013
- 10,112
- 24,642
Hili suala la kupotea kwa Ben saanane, kwa upande flani limekuwa likibezwa na wanasiasa wenye chuki binafsi na wasiokuwa na utu kabisa!
Waeneza propaganda wamekuwa wakidai mara Ben alijificha, mara Mbowe anajua alipo na mambo kibao yanayofanana na hayo!
Ukweli usiopingika hayo maneno yamedhoofisha sana upatikanaji na utafutaji wa huyu Kamanda!
Yamkini Ben alitishwa kwa jumbe mbalimbali za maandishi katika simu yake na hata aliyemtisha Tundu lisu alimtaja na kutoa namba yake lakini hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa, kilichobaki ikawa vijana na hasa ccm kuonyesha chuki za wazi na kutolea uongozi wa chadema maneno ya kashfa yaliyozaa udhoofishaji wa kumsaka Ben!
...siasa zisitufanye tukose utu katika mambo ya msingi hasa linapokuja suala la maisha ya mtu!
Itakumbukwa tu wakati Roma alivyotekwa, kuna watu walisema mara kajiteka na wengine bila shaka walitaka asipatikane kabisa au apatikanw labda akiwa hapumui sababu ya chuki na itikadi za kisiasa!
Haya sasa mnaoshadadia haya mambo mnafaidika kwa lipi..?
Tuwe na utu, binadamu ni utu!