Siasa za CCM Awamu ya 5 za kutaka kuiua CHADEMA badala yake CHADEMA ikaimarika zaidi

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,073
Katika SIASA za HOVYO ambazo CCM imewahi KUZIFANYA toka kuanzishwa kwake ni Wakati wa Utawala wa wa AWAMU ya 5
Siasa hizo ni za
1. Kuvuruga UCHAGUZI wa SERIKALI za MITAA 2019
2. Kuvuruga UCHAGUZI MKUU 2020
3. Kununua Wapinzani
4. Kuwabambikizia Kesi za UHUJUMU Uchumi UGAIDI na MAUAJI VIONGOZI WANACHAMA na WAFUASI hasa wa CHADEMA na Kupigwa Risasi
5.KUZUIA Mikutano ya Hadhara kwa CHADEMA ila CCM ilifanya Mikutano yao itakavyo
6. Kuwalipisha Faili kubwa VIONGOZI wa CHADEMA Waliobambikiziwa Kesi ya Hayati AKWILINA ili wakishindwa WAPEWE VIFUNGO JELA
7. Kuwateua na kuwapa VYEO Wanachama wa CHADEMA ili KUIDHOHOFISHA CHADEMA kinyume na Katiba
8. Kuwapa UBUNGE HALIMA Mdee na Wenzake 18 Wa VITI Maalumu bila Chama husika kuhusishwa ili Kuwahadaa Wafadhili baada ya Kuvuruga Uchaguzi Mkuu 2020
9. Kuwa na BUNGE la Chama kimoja wakati Nchi ni ya Vyama Vingi
10.BUNGE bila KAMBI RASMI ya UPINZANI
11. BUNGE bila Kiongozi wa Upinzani
12. BUNGE bila Mnadhimu mkuu wa Kambi ya Upinzani
13. BUNGE bila Mawaziri Vivuli
14. BUNGE Bila HOTUBA ya Kambi ya Upinzani
15. BUNGE bila HOTUBA za Mawaziri VIVULI
Hiyo ndio ilikuwa CCM ya AWAMU ya 5
Yote haya yalifanyika kutokana na kuamini CHADEMA ndiye ADUI wa UTAWALA wa AWAMU ya 5 na kufanya hivi kungesababisha CHADEMA KUFUTIKA ktk SIASA za VYAMA VINGI kumbe badala yake CHADEMA IKAIMARIKA mara DUFU
 
Ngoja wale mangosha waje!!!
 
Ingependeza zaidi kama polisi nao wapelekwe semina ya kujua nini maana ya vyama vya upinzani kuwa si adui wa watanzania Bali ni wajenzi wa nchi kama ccm. Kazi Yao iwe ni kulinda na kuhakikisha amani inatawala siyo kuanzisha fujo.
 
Katika SIASA za HOVYO ambazo CCM imewahi KUZIFANYA toka kuanzishwa kwake ni Wakati wa Utawala wa wa AWAMU ya 5
Siasa hizo ni za
1. Kuvuruga UCHAGUZI wa SERIKALI za MITAA 2019
2. Kuvuruga UCHAGUZI MKUU 2020
3. Kununua Wapinzani
4. Kuwabambikizia Kesi za UHUJUMU Uchumi UGAIDI na MAUAJI VIONGOZI WANACHAMA na WAFUASI hasa wa CHADEMA na Kupigwa Risasi
5.KUZUIA Mikutano ya Hadhara kwa CHADEMA ila CCM ilifanya Mikutano yao itakavyo
6. Kuwalipisha Faili kubwa VIONGOZI wa CHADEMA Waliobambikiziwa Kesi ya Hayati AKWILINA ili wakishindwa WAPEWE VIFUNGO JELA
7. Kuwateua na kuwapa VYEO Wanachama wa CHADEMA ili KUIDHOHOFISHA CHADEMA kinyume na Katiba
8. Kuwapa UBUNGE HALIMA Mdee na Wenzake 18 Wa VITI Maalumu bila Chama husika kuhusishwa ili Kuwahadaa Wafadhili baada ya Kuvuruga Uchaguzi Mkuu 2020
9. Kuwa na BUNGE la Chama kimoja wakati Nchi ni ya Vyama Vingi
10.BUNGE bila KAMBI RASMI ya UPINZANI
11. BUNGE bila Kiongozi wa Upinzani
12. BUNGE bila Mnadhimu mkuu wa Kambi ya Upinzani
13. BUNGE bila Mawaziri Vivuli
14. BUNGE Bila HOTUBA ya Kambi ya Upinzani
15. BUNGE bila HOTUBA za Mawaziri VIVULI
Hiyo ndio ilikuwa CCM ya AWAMU ya 5
Yote haya yalifanyika kutokana na kuamini CHADEMA ndiye ADUI wa UTAWALA wa AWAMU ya 5 na kufanya hivi kungesababisha CHADEMA KUFUTIKA ktk SIASA za VYAMA VINGI kumbe badala yake CHADEMA IKAIMARIKA mara DUFU
Tunamshukuru sana Mungu kwa kutuondolea dikteta uchwara bila ya kumwagika hata tone moja la damu.
 
Wananchi tusipokuchukua hatua dhidi ya ccm kuona hii nchi kama mali yao ni jambo la hatari sana, tunatakiwa kuwaambia kuwa inatosha!
 
Back
Top Bottom