Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,877
- 2,758
Nadhani tatizo la maendeleo nchini linasababishwa na mgawanyo wa madaraka, hasa ya kisiasa. Mfano kuna huyu mkuu wa mkoa wa kilimanjaro-monica mbega. Pia ni mbunge huko iringa. No wonder wanataka kumg'oa huko iringa. Atawatumikia wananchi saa ngapi? Mara unasikia huku mjadala wa kumteua mgombea wa urais ccm umefungwa na kwamba akili zimeshindwa kufanya kazi hadi tunategemea ramli. Nampongeza pia zitto kutoa hoja ya kutenganisha chaguzi za urais na wabunge. Tatizo wahusika hawataliona hili