Siasa za Bongo: Lowassa alikuwa anasimama jukwaani na kusalimia tu kapata 42%. Tundu Lissu hotuba ndefu kapata 13%

Dhalimu kamwe asingemweza Lissu ndio maana kila wakati afya ilikuwa mgogoro kupumzika kwingiiii kumbe anategemea aibe kura na kuvuruga uchaguzi sawa alifanya hivyo lakini kilichofuata wote tunajua Mungu fundi imebaki historia tu.
 
Kuna wakati unajiuliza hivi wapinzani wanajua wanachokitaka? Hupati jibu kabisa.

Mzee Lowassa kwenye kampeni 2015 alikuwa anasimama jukwaani anasalimia kisha anarejea kitini pake lakini akapata 42% ya kura zote huku akiongoza kwa upande wa nchi ya Zanzibar.

Tundu Lisu akiwa ndiye mgombea pekee aliyezunguka nchi nzima uchaguzi mkuu wa 2020 huku hayati Magufuli akipita robo tu ya nchi lakini Lisu alipata 13% na Magufuli 84%

Siasa za Tanzania ni za kipekee kama ulivyo muungano.

Ngoja niendelee kufuatilia siasa za William Ruto kule Ukambani Kenya.

Mungu ni mwema!
Nilianza kukuona mtu anaye tumia akili kumbe bado.
Kwani bado unaamini kwamba uchaguzi wa mwaka Jana ulikua wa haki?
Stupidity is....
When you see, when you have the evidence but still believing the lie.
 
Lisu huwezi kumlinga na Lowassa hata kwa haiba tu, achilia mbali kwamba lisu alikuwa anapiga porojo tu, kulialia na kutukana majukwaani, hakuwa na sera zozote. Sasa ulitaka watu tuchague matusi badala ya ahadi za maendeleo zilizokuwa zinatolewa na JPM (Rip)?
Watu wangetuona sisi mazuzu.
 
Kuna wakati unajiuliza hivi wapinzani wanajua wanachokitaka? Hupati jibu kabisa.

Mzee Lowassa kwenye kampeni 2015 alikuwa anasimama jukwaani anasalimia kisha anarejea kitini pake lakini akapata 42% ya kura zote huku akiongoza kwa upande wa nchi ya Zanzibar.

Tundu Lisu akiwa ndiye mgombea pekee aliyezunguka nchi nzima uchaguzi mkuu wa 2020 huku hayati Magufuli akipita robo tu ya nchi lakini Lisu alipata 13% na Magufuli 84%

Siasa za Tanzania ni za kipekee kama ulivyo muungano.

Ngoja niendelee kufuatilia siasa za William Ruto kule Ukambani Kenya.

Mungu ni mwema!
Kuna Jamaa alimkejeli Lowassa kwa Push Up zake sijui Yuko wapi Siku hizi ila MUNGU ni FUNDI
 
Lisu huwezi kumlinga na Lowassa hata kwa haiba tu, achilia mbali kwamba lisu alikuwa anapiga porojo tu, kulialia na kutukana majukwaani, hakuwa na sera zozote. Sasa ulitaka watu tuchague matusi badala ya ahadi za maendeleo zilizokuwa zinatolewa na JPM (Rip)?
Watu wangetuona sisi mazuzu.
Hata makaburu walitoa ulinganisho was mpambanaji Mandela na Gaidi.
 
Watanzania wanajua Lisu 84%, JPM 13%. Formula ya Lubuva ni ngumu kuelewa. Inapinduaga meza ktk mazingira tata sana.
Watanzania kabisa? Wamchague Lissu awe Rais, aaaah, jamani, tuwe serious kidogo, hata kama tunawaona watz ni mazuzu, lakini si kwa kiasi hicho!!! Khaaaaa
 
Hata wewe tunaweza kukuchagua kuwa kuongoza kaya.
 
Back
Top Bottom