Siasa za Arusha - Uchaguzi na Ujumbe wa Manispaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa za Arusha - Uchaguzi na Ujumbe wa Manispaa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MsandoAlberto, Jan 19, 2011.

 1. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [FONT=&quot]Alichoandikiwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Arusha:[/FONT]
  [FONT=&quot]
  [/FONT]
  [FONT=&quot]Mheshimiwa Mkurugenzi, baada ya Mkutano wa Kwanza kuahirishwa tarehe 17/12/2010 bila kutoa taarifa kwa mujibu wa sheria uliitisha mkutano wa Halmashauri ya Manispaa ya Arusha tarehe 18/12/2010.

  [/FONT] [FONT=&quot]Kifungu cha 35 cha Sheria za Serikali za Mitaa (Mamlaka za Miji) Na. 8 ya Mwaka 1982 pamoja na marekebisho yake kinaelekeza hivi;

  [/FONT] [FONT=&quot]35. Notice of meetings

  [/FONT]
  [FONT=&quot](1) The Director shall, not less than twenty-four hours before the time appointed for the holding of a meeting of an authority, notify every member in writing of the place, day and time of the meeting and of the business proposed to be transacted at the meeting.[/FONT]
  [FONT=&quot](2) No business shall be transacted at a special meeting of an authority other than specified in the notice relating to it.

  [/FONT]
  [FONT=&quot]Mheshimiwa Mkurugenzi, Mkutano wa tarehe 17/12/2010 uliahirishwa takribani saa 12.30 jioni. Taarifa ya maandishi iliyotolewa siku ya tarehe 17/12/2010 kwa barua yenye Kumb. Na. MD/C.90/12 baada ya kuahirishwa kwa Mkutano huo. Ni wazi kabisa barua hiyo iliandikwa ndani ya masaa 24 kabla ya muda uliopangwa wa Mkutano wa Halmashauri ya Manispaa ya Arusha kinyume na sheria.[/FONT]


  [FONT=&quot]1.1[/FONT][FONT=&quot]KUTOKUFIKIA AKIDI YA MKUTANO.[/FONT]


  [FONT=&quot]Mheshimiwa Mkurugenzi, kwa taarifa iliyotolewa, nanukuu, [/FONT][FONT=&quot]"kutokana na kuahirishwa kwa mkutano wa tarehe 17/12/2010 wa uchaguzi, taarifa inatolewa kuwa mkutano ulioahirishwa utafanyika tarehe 18/12/2010 saa nne (4.00) asubuhi…."[/FONT]


  [FONT=&quot]Mheshimiwa Mkurugenzi, kwa barua yako hiyo mkutano wa tarehe 18/12/2010 ni mwendelezo wa mkutano ulioahirishwa tarehe 17/12/2010. Kwa mujibu wa Kanuni 8 ya Kanuni za Kudumu za Mikutano na Shughuli za Halmashauri (zilizotungwa chini ya kifungu cha 37 cha sheria ya serikali za Mitaa(Mamlaka za Miji) Na. 8 ya mwaka 1982) inaelekeza hivi;

  [/FONT] [FONT=&quot]8(1) Hakuna mkutano wa kawaida wa Halmashauri utakaofanyika isipokuwa kama kutakuwepo idaidi ya wajumbe isiyopungua nusu ya wajumbe wote.[/FONT]
  [FONT=&quot](2) n/a[/FONT]
  [FONT=&quot](3) akidi katika Mkutano wa kawaida wa mwaka na mkutano wa kwanza wa halmashauri itakuwa theluthi mbili ya wajumbe wote wa halmashauri.[/FONT]


  [FONT=&quot]Mheshimiwa Mkurugenzi, kwa tafsiri ya barua yako iliyotajwa hapo juu ni wazi kabisa kwamba Mkutano wa tarehe 18/12/2010 ni Mkutano Mkuu wa Kwanza hivyo kipengele hicho ndicho kinachotakiwa kutumika kuamua akidi ya mkutano huo.[/FONT]


  [FONT=&quot]Mheshimiwa Mkurugenzi, idadi kamili ya wajumbe wa Halmashauri ya Manispaa ya Arusha ni 31 (pamoja na Mh. Mary Chitanda ambaye ujumbe wake unapingwa). Kwa idadi hiyo theluthi mbili ya wajumbe ni wajumbe 21 lakini kwa taarifa za walihudhuria Mkutano wa tarehe 18/12/2010 ni wajumbe 17 tu.[/FONT]  Hayo ndiyo yaliyoandikwa! Hapo ndipo ubishi ulipokuwepo! Mkurugenzi hakuwahi kuijibu barua hiyo wala kutoa maelezo yoyote.

  Argument yake ni kwamba Mkutano ukiahirishwa na kupangwa kufanyika siku nyingine Akidi (Quorum) inayotumika ni ya siku ambayo mkutano uliahirishwa. Mkutano unakuwa ni muendelezo!! Labda wachangiaji wenye uelewa wa taratibu za mikutano inapoahirishwa watatusaidia kujua kama ndio utaratibu au la.
   
 2. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2011
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  nani kamwandikia
   
 3. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Madiwani wa CHADEMA walimuandikia Mkurugenzi.
   
 4. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Kilichotokea Arusha ni uhuni kama uhuni mwingine unaoufahamu
   
 5. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  tulishajadili ni uhuni wa mkurugenzi
   
 6. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2011
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,286
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  Ni uhuni wa serikali ya Kikwete. Wasira amekuwa waziri wa tamisemi, kwa vyovyote hizo sheria na kanuni anazifahamu vizuri sana. Anapotoa msimamo wa serikali kuwa uchaguzi wa meya umekwishafanyika anadhihirisha kuwa yule mkurugenzi alichotekeleza ni amri ya wakubwa.
   
 7. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Iliandikwa lini?
   
 8. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2011
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Huyu mkurugenzi nadhani iko siku atahama mkoa kwa aibu kubwa atakayoipata..

  Nadhani tufanye tena maandamano menginge kutaka kwanza uchaguzi wa meya...
   
Loading...