juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Wanabody habari za muda,kuna vitu nimeviwaza kuhusu bara letu la africa vya kisiasa,nimegundua waafrica hatuwezi kufanya siasa na ni kama tulilaaniwa,katika maisha yangu sijawahi kusikia nchi za ulaya na mabara mengine zina sivil war(vita vya wenyewe).
Sijawahi kabisa bali mambo hayo ni africa tu,sijawahi kusikia kwa wenzetu wananchi wanalilia mambo ya katiba kukiukwa,ila hapa kwetu katiba zinakiukwa sana,angalia misri,libya,tanzania,Burundi,Congo,Rwanda,Uganda,Ivory coast,Guinea Bisau,Zimbabwe, n,k.watu wanalalamika katiba zinavunjwa,sijawahi kusikia kwa wenzetu wananchi wakilalamikia kwamba uchaguzi ulikuwa na rafu nyingi au uchaguzi haukuwa wa haki.
Ila hapa kwetu mambo ya kelele baada ya uchaguzi ni kila mara na ni karibu nchi zote.hivi sisi waafrica tulilaaniwa kwa kosa gani jamani?