Siasa za Afrika: Watawala badala ya kuwashawishi wananchi kwa sera wao " huwatamanisha" viongozi wa Upinzani kwa ahadi za vyeo!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,560
141,375
Najaribu tu kuzitafakari siasa za bara letu la Afrika.

Watawala hawahangaiki sana na wananchi wao wanajikita zaidi na viongozi wa vyama vya upinzani vyenye ushawishi kwa kuwaahidi vyeo.

Nazipitia tu siasa za Jubilee na ODM na zile za CCM na Chadema kwa kweli safari bado ni ndefu ili kuyafikia maendeleo ya pamoja kama taifa.

Siasa za Afrika zinanufaisha zaidi mtu/familia moja moja.

Niwatakie Alhamisi ya Amri yenye baraka.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hao wanaotamanishwa na kuingia mtegoni ndio wenye matatizo makubwa.
 
Back
Top Bottom