Siasa z uongo na unafiki

Hansen Nasli

JF-Expert Member
Mar 18, 2012
883
225
Chama kinachoendesha siasa zake kwa kutegemea uongo na fitina hakika kitakufa kwa fitina na uongo huo huo,kilasiku ni kutafuta uongo wa kutunga na kinachosikitisha uongo huo unaongozwa na mtu alishawahi kuwa padre na mnafiki mwingine ambaye ni mchungaji anazunguka kusambaza fitina kwa akili yake fupi anajua anakilinda chama ili wakamilishe maslahi yao kumbe wanakibomoa maana watu wamechoka na uongo huo na sasa wanaamua kujidanganya wenyewe sasa,huyo mnayemtungia uongo na fitina ni mpango wa mungu yupo ndani ya moyo wa watanzania.
Na mtambue uongo hauishi maisha marefu kama ukweli jiandaeni kuficha sura zenu maana ukweli unazidi dhihirika
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom