Siasa ya Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa ya Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by warda ramadhan, Mar 7, 2012.

 1. w

  warda ramadhan New Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Siasa ya bongo imejaa majungu uongo na ufisadi kwa stail hii tutaendelea kuwa nyuma ya maendeleo na kuomba misaada kutoka kwa wenzetu mpaka mwisho wa maisha yetu watu wanang'ang'ania uongozi wakat uwezo wa kuongoza hawana wanachojali ni kuziendeleza familia zao kiukwel hii inauma sana taifa lenye rasilimali nyingi linakuwa masikini
   
Loading...