Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,581
Pale alipo Dr. Mwakyembe, Dr. Tulia,Pro Kabudi, Pro Mbarawa na huko anakokimbilia Prof Kitila Mkumbo ndiko kwenye pesa.
Kwa Taarifa yako Katika ukanda wa Afrika mashariki Tanzania ndio nchi pekee yenye maprofesa na watu wenye Phd kuliko nchi giants za A. Mashariki na kusini mwa jangwa la sahara. Pamoja na uchache wao Siasa inazidi kuwavuna kila siku... huko ndiko kuliko na Maslah mapana.
Vyuo vikuu binafsi nchini vipo 35 ila vina maprofesa 74 tu hawa ni wale maprofesa kamili. Associate wapo 56 hawa ukijumlisha na hao 74 unapata 130. Associate maana yake ni accademic rank iliyopo kati ya assistant professor na Full professor (operational meaning)
Ambao wana Phd kwenye vyuo vya binafsi ambao wanafundisha ni 138. Ukijumlisha na idadi ya maprofesa unapata 268. Hawa ndio wanaohudumia karibu zaidi ya nusu ya wadahiliwa wote Tanzania wanaosoma vyuo vya binafsi.
Kwa upande wa serikali Full Prof wapo 204 huku associate wakiwa 309 na Phd wakiwa 514 wote hawa wanatengeneza staff ya watu 1,027. Hawa ndio wataalamu wabobezi wanaohudumia vyuo vyote vya Seriali nchini.
Fahamu kuwa kuna vyuo vikuu zaidi ya vinne havina Prof hata mmoja huku kimoja cha serikali kikiwa na Prof mmoja.
Chuo kinachoongoza kwa kuwa na maprof wengi ni chuo cha SUA kikiwa na maprof 75 huku UDSM ikiguatia ikiwa na maprof 67. Kwenge vyuo vya binafsi kuna balaaa kubwa....
Kenya wao miaka 3 iliyopita walikuwa na maprofesa kwenye vyuo vyao vya Serikali 5,189, jumlisha hawa wakwetu kama hata wanafika nusu.
Kenya Kwa mwaka wanazalisha Phd 1,000 huku Tanzania tukizalisha chini ya 500 kwa mwaka.
Tanzania Imefikia mahali umri wa kustaafu wa maprofesa chuoni umeongezwa hadi karibu kufikia miaka 80. Hiki ni kiashiria cha Tatizo kubwa lililopo.
Vyuo vyetu vya binafsi vimeanza kuajiri maprofesa toka nchi jirani kama Kenya huku tukipigana kusema ajira hakuna....
Ni wakati sasa wa Serikali kufikiri namna bora ya kuboresha maslahi ya hawa wataalamu wanaokimbilia kwenye siasa ili wabaki kuzalisha wataalamu wengine.
Wanavyuo wengi wanaomaliza vyuo vikuu kwa sasa hata kuandika barua ya kuomba kazi hawawezi inawezekana ni ukisefu wa wataalamu bora mavyuoni.... .... mimi Sijui.
Ukiangalia bidhaa zinazotengenezwa hapa kwetu ni za kuhesabu ila kila mwaka vyuo vyetu vikuu na vyuo vya kati vinamwaga maelfu ya wahandisitaani..... jamani hata Toroli mmeshindwa kulitengeneza....
Hata wataalamu waliobakia wameshaanza kuwa na element za siasa inawezekana nao wapo njiani kutoka. Siku hizi wanajitokeza hadharani kabisa na kuifia chama fulani bila woga... wanakaa karibu na wanasiasa ili kuambulia chochote.......
Haya tunayazungumza huku kada ya Siasa ikiwa ibadhau kazi nyingi za wataalamu. Jiulize ni Tafiti ngapi zipo kwenye maktaba zetu za vyuo vikuu na jiulize zinatumika wapi. Katika hali hiyo unafikiri kuna haja ya hawa wataalamu kuumiza kichwa huku kazi zao zikiwa hazitambuliki au wavae Suti wakapige mabenchi makofi pale Dodoma huku wakiingiza mamilioni.??
Ni aibu kwa profesa aliyebaki pale Muhimbili kuzidiwa mshahara na kibajaji na kina mlinga hahahahaha
Kitila mkumbo naye anataka kuachana na kufundisha Saikolojia pale Duce .... kufundisha kunamchelewesha anawahi pesa za haraka.... kila la kherii......