Tetesi: siasa ya afrika na siasa ya wenzetu

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,580
15,792
wana jf kuna jambo huwa nashindwa kuelewa.
mara nyingi ukiangalia siasa za wenzetu utaona kama ni pinzani au yupo madarakani basi kati ya hapo siasa zao ni nani hata weza boresha au kujua nini kitakacho mfanya kufika.
lakini hapa kwetu.malalamiko mengi(siasa yaa afrika).unakuta yani hiwe chama pinzani au tawala ni kama nyimbo za taarabu tu.
leo katika pita pita jf nakuta watu wakilalamika kuwa pinzani wakishindwa kufanya yaliyo jimboni hata tawala kama wabunge walio pewa kura na wananchi.
je tuna jadili vipi...?
 
hueleweki uwe unafikiri kabla ya kuandika hii ni aibu eti greatthinker kweli,hivi tu.
 
Back
Top Bottom