Siasa uchwala ndani ya ccm zimeisha

koyola

JF-Expert Member
May 20, 2015
2,645
1,747
Katika kurudi nyumbani mzee Lowasa nilimuona ndg Rostom Azizi ambaye aliwahi sema anaachana na siasa uchwala bila shaka magu kaweza kuvunja makundi ndani ya chama na kurudisha nidham ya chama amabayo wengi wamemkubali...na kuona sasa ndo muda wakuungana na kufanya kazi za chama kwa usawa bila kuzungukanazungukana kwa kufuta katiba na miongozo ya chama.. ni vizuri na wengine wangeiga mfano huu ili vyama vyao viweze kuondoa mambo madogomadogo yanayoleta misuguano na kujenga upinzani wa kweli na wenye nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mtu lazima aimbe ule wimbo maalum wa chama ulioimbwa Dodoma unaukumbuka vizuri? unaitwa tuna imani na....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom