Siasa Tamu muda mwingine tutatumia MD wazalilishaji wa dunia ili kupata Siasa za cost effective

Bookman Oldstyle

Senior Member
Nov 3, 2019
147
47
KAZI KUBWA YA AWAMU YA TANO ILIKUWA KUANDAA BAJETI YA KUJENGA OSTABEY MPYA KATIKA JIJI LA DODOMA KWA AJILI YA MABALOZI WA NCHI ZA AFRIKA KAMA KENYA, UGANDA, MALAWI, NIGERIA N.K

KWA WALIOBOBEA KATIKA MAHUSIANO YA KIKANDA NA KIMATAIFA HAKIKA NI GHARAMA NDOGO KWA SERIKALI YA AWAMU YA TANO KUONEKANA INAFANYA KAZI YA KUWAKOMOA MABALOZI KWA KIZINGIZIO CHA
WATAJENGA WENYEWE AU MAANDALIZI YA KURUDI DAR ES SALAAM YANAENDELEA...

KAZI NZURI NA WAO WATAENDANA NA TUNE... NANI AANZE KUPIGIWA MAKOFI KUAMIA DODOMA RAIS/MABALOZI





FEDHA TAMU USIPOZIJUA (YAWEZEKANA TUMEKUWA WAZURI KUWAPANGIA BAETI NOW) MAANA ZOTE HUWA ZINAINGIA KWENYE MZUNGUKO
 
Hongera Magufuli kwa kujali Watanzania Endelea kuchapa kazi

Wale wasaliti wa nchi sijui wataweka wapi sura zao
 
#tag siyo KAZI kufikilia uchafu

#tag tutatafuta MTU mmoja wa kumtharirisha

#tag karibu na Bunge

#tag tutalima na kusahau
 
UJInga Ndiyo unafanya anaishi wakati ana Kitabu cha stories za Chuki za kujudge zinahitajika Kwa ujenzi wa NYUMBA za mabalozi Dodoma labda hakuna safari baada ya hapo Tuboreshaje Maisha maana mafereva wapo
 
Tumekuwa tukishuhudia watu mbalimbali wakitumia MAISHA ya mazingira kuwafundisha watu MAISHA ya Siasa, uchumi, utamaduni, sanaa n.k

Mambo makubwa yanayofanywa na Serikali ya awamu ya Tano ni ishara kubwa kuwa nyumba ya ikulu ilikuwa inanuka na maandalizi ya kufikia uchumi wa Kati Kwa kustructure maisha ya watanzania. Miradi mikubwa tunayoshuhudia itahitaji watu wa kipato mikubwa na cha Kati ili iendane na falsafa ya VALUE FOR MONEY

Ni muda wa watanzania kujiandaa kutoa "USHUHUDA" wa kuboresha maisha ya mtanzania Kwa kuweka mchango wako wa ulichokiona katika nchi nyingine iwe Ulaya au China ili kuboresha maisha..

IPO siku tutatumia Siasa mbalimbali za bungeni, nyimbo za wazee ili kuboresha maisha ya watanzania mathalani na naomba msichukie wimbo huu wa uteuzi wa viongozi wa SASA

Maisha ya Mtanzania ni mashindano ya biashara ndogondogo ambayo huishia SULUHU maana utekelezaji wa kila kitu ni MAJALIWA na ikishindikana tutakunywa POMBE maana dawa ya PENDO ni PENDO, Dawa ya DHARAU ni DHARAU na ukitaka UTULIE pale bungeni lazima ujue siyo KAZI Kufanya KAZI na JOB

Labda Kwa sababu "NCHI ILIYOPATA MAENDELEO FEDHA HAINA SAMANI" jamaa anamkwanja Sana atakuwa anadharau report Kwa sababu ni story "FEDHA KUINGIA KWENYE MZUNGUKO"
 
Back
Top Bottom