Siasa Tamu bana-Is this dude drunk or just thought of speaking his stupid mind? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Siasa Tamu bana-Is this dude drunk or just thought of speaking his stupid mind?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by engmtolera, May 11, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  May 11, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Jf hebu sikilizeni haya matope ya siasa,kama hujawahi sikia basi jilidhishe na kama ulishawahi sikia juwa kuwa siasa ndivyo ilivyo ni kupakana matope ili kila mtu awe na nafasi ya kushika dola  Is this dude drunk or just thought of speaking his stupid mind?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 2. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Haha ha ha ha ha ha. Nimecheka sana
  Hii ndio hatari ya kila mtu kuwa na guts za kuongea.

  Nimeshindwa kuelewa namna huyu jamaa anavyorelate politcs za Kenya, Uganda na Tanzania.
  Anapretend kuwa bonge la east african politics analysts ila anaharibu vibaya sana
   
 3. S

  Stuxnet JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2011
  Joined: Feb 12, 2011
  Messages: 1,016
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Ni nani huyo? Maana simu yangu haifungui YouTube
   
Loading...