Siasa Sio Vita Wala Ugomvi! Tuuulinde Mshikamano Wetu Wa Taifa!!

Status
Not open for further replies.

W. J. Malecela

JF-Expert Member
Mar 15, 2009
14,045
2,000


- Natoa heshima kubwa sana hongera kwa Mheshimiwa MWenyekiti wa Chadema kwa kuonyesha ukomavu wa kisiasa, kwanza yeye na chama chake Chadema, waliikataa Serikali ya CCM baada ya uchaguzi na kuigomea, lakini haikuchukua muda mrefu sana wakagundua makosa makubwa sana waliyoyafanya na kwenda Ikulu, kumuomba Radhi Rais wa Jamhuri na hata kunywa naye vinywaji baridi vya Serikali ya CCM.

- Na sasa undugu na ushirikiano huo unazidi kudumishwa hapa leo, yeye na Waziri Mkuu wa Serikali ya CCM Mh. Pinda, na Mwenyekiti wa Chadema, kwa pamoja wameshirkiana kushiriki kwenye ,msiba wa Mke wa Mbunge wa Upinzani, Mheshimiwa Hamad Rashid, na hata kupiga picha ya pamoja, huu ni uuungwana na ni muhimu wananchi wote wakatambua kwamba siasa sio vita wala ugomvi!!


MUNGU AIBARIKI TANZANIA!!

Le Mutuz!! THE KING OF ALL BONGO SOCIAL MEDIA!!
 

Kanundu

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
889
0
Kaka!

Wakati mwingine uwe unatoa point za maana kaka. Hivi baada ya kupewa hako kaujumbe huko MAGAMBANI wamekuambia kazi yako iwe ni kubwabwabya Jamii Forum? Mbona hushabihiani na akina Dr. Mwele kabisa!!!!

Hebu jaribu kuweka point za maana kama sababu ni huo uongozi unao utaka.
 

Kajuni

JF-Expert Member
May 27, 2009
486
250
Mkuu nakushauri kama huna hoja sio lazima kupost thread! Unaweza changia sa wengine. Kaka naona siku zinavyo kwenda unazidi kuporomoka ki hoja! Au ni hangover ya kukosa vyeo chamani?
 

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,487
2,000
Mkuu nakushauri kama huna hoja sio lazima kupost thread! Unaweza changia sa wengine. Kaka naona siku zinavyo kwenda unazidi kuporomoka ki hoja! Au ni hangover ya kukosa vyeo chamani?

Wote mnaomshauri hivyo atakuja hapa na kuwaita chadomo. just wait and see!
 

Malafyale

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
13,369
2,000
Le mutuz!

Mshikamano HAUWEZI KUJA kama segment chache tu ya watz ndiyo wanafaidika na pato la Taifa!

Tunakuomba mshauri Jaji Malecela AACHE KUKOMBA PESA ZETU HAZINA kwa safari zake za matibabu INDIA maana HAJAWAHI KUSIKILIZA KESI HATA MOJA TOKA AAPISHWE!

Le Mutuzi;msaidie MB Lissu KUMFIKISHIA jaji ujumbe huu!
 

Kanundu

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
889
0
Le mutuz!

Mshikamano HAUWEZI KUJA kama segment chache tu ya watz ndiyo wanafaidika na pato la Taifa!

Tunakuomba mshauri Jaji Malecela AACHE KUKOMBA PESA ZETU HAZINA kwa safari zake za matibabu INDIA maana HAJAWAHI KUSIKILIZA KESI HATA MOJA TOKA AAPISHWE!

Le Mutuzi;msaidie MB Lissu KUMFIKISHIA jaji ujumbe huu!

MKUU MALAFYALE!

Kumbe kuna anayekula pesa zetu kwa kupata mshahara wa bure na matibabu India?

Kumbuka kwamba pia walikula pesa za kiinua mgongo cha wazee wetu wa iliyokuwa Jumuiya ya Africa Mashariki. Halafu tena huyu jamaa mwenye mwili usio wiana na kichwa anatuletea hoja zisizo na mashiko hapa!!! Kumbe wamezoea vya kunyonga ndiyo maana wana hangaika huku na kule ili waendelee kufaidi!!! Mungu na awalaani kabisa.
 

OSOKONI

JF-Expert Member
Oct 20, 2011
10,971
2,000
Kaka!

Wakati mwingine uwe unatoa point za maana kaka. Hivi baada ya kupewa hako kaujumbe huko MAGAMBANI wamekuambia kazi yako iwe ni kubwabwabya Jamii Forum? Mbona hushabihiani na akina Dr. Mwele kabisa!!!!

Hebu jaribu kuweka point za maana kama sababu ni huo uongozi unao utaka.

kaka kwake hapo ni bonge la point na ndio mwisho wake wa kufikiria mimi nilisha mu ignore siku nyingi sana! huwa sina tabia ya kubishana na mtu asiye na akili!
 

chama

JF-Expert Member
Aug 6, 2010
8,001
0
william
Mkuu Mbowe ana akili za kisiasa; huwezi na kumfananisha na Slaa; yeye yupo busy kutengeneza mtandao ili ateuliwe kuwa mgombea anajua fika Tanzania hatupo tayari kutawaliwa na vibabu analazimisha mambo; anakumbuka shuka kumekucha! Miaka 70 kina Nyerere ndio walikuwa wanastaafu yeye anataka kutuletea kituko mchakamchamka wa vijana wa vijana atauweza wapi; mshaurini akalee mjukuu na mwanawe Josephine
 
Last edited by a moderator:

Gagnija

JF-Expert Member
Apr 28, 2006
9,703
2,000
Le mutuz!

Mshikamano HAUWEZI KUJA kama segment chache tu ya watz ndiyo wanafaidika na pato la Taifa!

Tunakuomba mshauri Jaji Malecela AACHE KUKOMBA PESA ZETU HAZINA kwa safari zake za matibabu INDIA maana HAJAWAHI KUSIKILIZA KESI HATA MOJA TOKA AAPISHWE!

Le Mutuzi;msaidie MB Lissu KUMFIKISHIA jaji ujumbe huu!
Hapa tulipofikia kama kuna mtu bado anawaza kuwa CDM ni Mbowe au kiongozi yeyote mwingine, mtu wa aina hiyo inabidi ajifunze kwa kuangalia yanayotokea Misri. Tunataka kuwatoa CCM ili watakaokuja wafuate matakwa yetu. Mbowe anaweza kuwa na urafiki hata na Rosstam. Lakini siku CDM ikiingia madarakani si Mbowe wala kiongozi yeyote wa CDM atakayekuwa na ubavu wa kumllinda fisadi yeyote. That is what people's power means.
 

Criterion

JF-Expert Member
Jan 8, 2008
11,794
2,000
Mzee, unajua sisi tulishachoshwa na propaganda zenu za kijinga. Kuchakachua kwa JK is not a secret na dhihaka zenu zinawazidishia maadui wa kuwatakia mabaya. Ni afadhali mkanyamaza na kuendelea na hujuma zenu kimya kimya ili mtimize malengo yenu kuliko kuendelea ku provoke hasira za Watanzania kwa kuwakejeli baada ya kuwahujumu haki zao nyingi za kiraia na kikatiba.
 

manuu

JF-Expert Member
Apr 23, 2009
4,067
2,000
Sidhani kama unao muda wa kujibizana na mpumbavu kama huyo.
Duh! Huyu jamaa kawakosea nini au mnamuadhibu kwa makosa ya wazazi wake?
Maana kama ni mitizamo na upeo nadhani siyo lazima tufanane.
 

manuu

JF-Expert Member
Apr 23, 2009
4,067
2,000
Le mutuz!

Mshikamano HAUWEZI KUJA kama segment chache tu ya watz ndiyo wanafaidika na pato la Taifa!

Tunakuomba mshauri Jaji Malecela AACHE KUKOMBA PESA ZETU HAZINA kwa safari zake za matibabu INDIA maana HAJAWAHI KUSIKILIZA KESI HATA MOJA TOKA AAPISHWE!

Le Mutuzi;msaidie MB Lissu KUMFIKISHIA jaji ujumbe huu!
Sasa baba kaingia vipi huku bwana tuwe na mipaka sasa,mlaumu aliye mchagua na aliye mchagua kuwa jaji si ni wewe ulimchagua.Kuwa na busara kidogo hata kama ni zero brain.
 

Malafyale

JF-Expert Member
Aug 11, 2008
13,369
2,000
Sasa baba kaingia vipi huku bwana tuwe na mipaka sasa,mlaumu aliye mchagua na aliye mchagua kuwa jaji si ni wewe ulimchagua.Kuwa na busara kidogo hata kama ni zero brain.

Manuu;Uliza kwanza kabla ya kujibu siku ingine;Jaji Malecela ni mtoto wa Mzee John Cigwe Malecela na ni dada yake Le mutuz;Aliteuliwa na Rais JK akiwa mgonjwa na toka ateuliwe anashinda tu matibabuni India!

Kwa vile Le mutuz kaonyesha some sense of nationalism basi nimemuomba ASICHIE HAPO;ATUSAIDIE KUOKOA PESA ZETU WALALA HOI ZINAZOTUMIWA NA DADA YAKE BILA KUZIFANYIA KAZI!
 

DSN

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,837
2,000
Le Mutuz
USHAURI BINAFSI KWA NIA YA KUJENGA.
Mwanzoni wakati nimekutana nawe humu ndani ya JF nilijalibu sana kukutetea sana hasa ilipokuja issue ya watoto wa viongozi kushiriki siasa.Lakini toka umeludi Nchini na kukutana makada wanazi wa CCM hakika binafsi pia naona unazidi kuhalibu taswira yako kwa watu kama mimi wenye mwelekeo wa UTAIFA.

Waweza kuwa na ITIKADI ya kichama kama CCM,CDM, ama CUF lakini ukiwekwa meza moja na wanautaifa you speak the same Language.Mwanzoni nilijenga picha yako kama MWANAUTAIFA , lakini kwa sasa unaelekea kusiko kwa sababu ya vimambo vidogo vidogo kama hivi.

Ushauri mdogo ni kama hivi Identity ama aka ya LE MUTUZ!!!binafsi naona kama iko kistarehe na maraha ya kishamba kuliko maana ambayo kesho ana keshokutwa itakupa HESHIMA kwenye jamii.Mfano msure alipoamua kujiita CATERPILLAR aka BULLDOZER binafsi naaminia ilikuwa ni hekima na uwezo mkubwa sana wa msure wako kifikra kuibuka na NICK name yenye kila sababu ya kupewa heshima na kubeba maana aliyochagua yeye binafsi kutokana na jinsi alivyojiona na kujipima kupitia mazingira na nyakati husika.Leo hii ukisimama nyuma yako kuna kivuli cha BULLDOZER.

Ebu achana na ushamba wa baadhi ya watoto wa mjini,your were luck to be born with a silver spoon among millions of Tanzania childrens by then,now your 50s yrs of age kuna nini ujaona maishani mwako kiasi cha kujiita LE MUTUZ!! kana kwamba unajifidia compasate kwa mask ya kishamba ya limbukeni wa mjini aliyekuwa hajui white colour leo kaiona basi wengine wote anawaona wajinga.Ebu mwangalie Dada yako anavyo behave kisha vaa viatu vyake kama ni jinsi gani waweza kuwa gentleman ukupaswa kufunishwa kwa kuwa nyumbani palikuwa ni alama ya UDIPLOMASIA kitambo.UDIPLOMAISIA wa kitambo ile wa A STAR shining in the DARK na UZE LE MUTUZ wapi na wapi William, am very young to you but you need to change, seriously.

Kila umri una mambo yake,mambo ya mapicha na watoto wa kike kwa wakati wa sasa achanaa nayo,fanya hayo mambo ya kiutu uzima kwa umakini mkubwa kwa kuwa nijadi ya wanaume wa kiafrika kuwa na mambo ya kuzunguka na sketi ebu jidispline na kuwa makini ili uweke heshima.Leo katika age yako unasimama mbele ya camera na vijsiket kwachaaa !!!! uku umeshika viuno vyao unatoleka na kutomboka!!!!to me dude its not, your size, ama UBAHARIA ndio umekukaa basi ndio imekua shida kubadilika!!! kama unaona umeshindwa kuwa Mwanasiasa na MDIPLOMASIA wa kuzaliwa basi achana na siasa vinginevyo utakuwa LE-MUTUZ wa show za TOTOZ.

Ulichokiandika ningekuwa mimi ningeandika hivi!!!
 

Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
45,081
2,000
Hakuna cha kumsaidia huyu Mzee Kijana zaidi ya kumpuuza, Mwili ujazo wa kontena akili ujazo wa kisoda, wapi na wapi? kama Mzee Jumanne Malecela hana mtoto mwingine is better aka adopt mtoto mwingine, huyu ni hasara tupu.
 

Matola

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
45,081
2,000
user-offline.png
Active

Yesterday 22:03
#2
Moderator
mod.png
Array


Join Date : 30th January 2008
Location : Activated
Posts : 27
Rep Power : 558
Likes Received14
Likes Given90[h=2]
icon1.png
Re: Kwanini threads nyingi zinazo mhusu W.J.Malecela hufutwa au Kufungwa?[/h]
Mkuu Eliah G Kamwela & et al,

Threads zinazomuhusisha W. J. Malecela zinafungwa na kuzimishwa tokana na suala lililo wazi kabisa kuwa hizo thread hujaa posts zenye comments na hoja zisizo na tija ZIKIELEMEA Mipasho, Kejeli, Matusi na Kashfa toka kwa W. J. Malecela mwenyewe na members ambao huchangia hizo threads juu yake!

Kuna baadhi ya members hawataki kutambua kuwa kujibizana na mtu ambaye kishaamua kuwa hivyo iwe kwa kuchagua ama makusudi ni wastage of resources na muda wa moderators na members wenyewe. Threads hizo hata zikiwa monitored kwa karibu hubadilika kuwa vita visivyo na tija badala ya hoja.​
 

lufungulo k

JF-Expert Member
Apr 19, 2012
2,274
2,000
usimpende mtoa thread, lkn alichosisitiza kinamaana ktk ukuaji na ustawi wa taifa letu, leo hii matukio mengi yanatokea yakihusisha vifo vinavyosababishwa na jazba za wafuasi wa vyama na polisi, hatima yake lawama zote huelekezwa polisi kwa kuwa ni wakatili wasiowapenda watanzania wenzao, lkn ktk hilohilo la mauwaji limeshuhudiwa likifanywa na wafuasi wenyewe wa vyama wanapokutana makundi fujo mbaya hutokea na kusababisha vifo, kutofautiana si hoja , Tanzania kwanza. kuua ni kubaya kufanywe na polisi kwa raia au raia kwa polisi , au wapenzi wavyama vya siasa, hata humu kwenye jf tunauwana kwa maneno kwa kuwa tu, misimamo tofauti, tujenge taifa la mshikamano.TUKUMBUKE MANENO YA HEKIMA YA MH, SEIF SHARIFF HAMAD baada ya uchaguzi kumalizika na kufikia maridhiano na CCM alitamka maneno haya; baada ya maridhiano haya hakuna ushindi wa chama fulani, ni ushindi wa wazanzibar wote,
 
Status
Not open for further replies.

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom