Kenya 2022 Siasa Sio Urafiki, Kingi Amjibu Raila Kuhusu Madai ya Kumsaliti

Kenya 2022 General Election

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Siasa Sio Urafiki, Kingi Amjibu Raila Kuhusu Madai ya Kumsaliti"
  • Amason Kingi, amemtuhumu mwaniaji urais wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga kwa kuwasaliti Wapwani
  • Kingi alipuuzilia madai kwamba Raila alimsaidia kupata wadhifa wa uwaziri kwenye serikali ya nusu mkate
  • Kingi, ambaye hivi majuzi aligura Azimio na kujiunga na Naibu Rais William Ruto na muugano wake wa Kenya Kwanza, alisema Raila amekuwa akiwasaliti wenyeji wa Pwani
Gavana wa Kilifi ambaye pia ni kiongozi wa Pamoja African Alliance (PAA) Amason Kingi, amemtuhumu mwaniaji urais wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga kwa kuwasaliti Wapwani.
1.jpg

Gavana wa Kilifi Amason Kingi alisema Raila Odinga amewasaliti wenyeji wa Pwani.

Akizungumza kwenye uwanja wa Karisa Maitha katika Kaunti ya Kilifi wakati wa kongamano la wajumbe wa PAA siku ya Ijumaa, Kingi alipuuzilia madai kwamba Raila alimsaidia kupata wadhifa wa uwaziri kwenye serikali ya nusu mkate.

Mzee (Raila) ulitusaliti na tunakusubiri mnamo Agosti 9 ili tukufunze adabu. Haukunisadia kuwa waziri kwenye serikali ya muungano, ila niliipata nafasi hiyobaada ya kukupigia kura,” Gavana huyo alisema.

Kingi, ambaye hivi majuzi aligura Azimio na kujiunga na Naibu Rais William Ruto na muugano wake wa Kenya Kwanza, alisema Raila amekuwa akiwasaliti wenyeji wa Pwani.

Kingi alimtuhumu Raila kwa kuwatembelea Wapwani wakati anapihitaji kura zao, na hatimaye kupotea baada ya uchaguzi kukamilika.

Mzee (Raila) tunataka kukuarifi kwamba tumeichukua 'bedroom' yetu na umekaribishw atu sebuleni,” kiongozi huyo wa PAA alisema.

Gavana huyo amabye anakamilisha muhula wake wa mwisho, amewataka wenyeji kumpigia kura Ruto awe rais, akisema eneo hilo litanufaika pakubwa chini ya uongozi wa serikali ya Kenya Kwanza.
 
View attachment 2224393

Kingi yupo sahihi kabisa Raila ni opportunities
 
Kingi ndio opportunist alitaka chama chake kiachiwe County nzima wakati ni kichanga!!! Kilifi miaka yote imempigia Odinga so hakuna ambacho atabadili huyu kibaraka.
 
Back
Top Bottom