Siasa sio ugomvi wala matusi bali ni malumbano,ya mimi nitafanya hiki mkinipa ridhaa hivyo ni muhimi


N

nengungu

New Member
Joined
Dec 4, 2013
Messages
1
Likes
0
Points
0
N

nengungu

New Member
Joined Dec 4, 2013
1 0 0
Nimekuwa nikifuatilia comment zenu humu jinsi kila mtu anavyofikiria kuhusu jambo fulani wasiwasi wangu ni uelewa wa jambo lenyewe,maana ni muhimu sana kusema kitu wakati una uhakika nacho kuliko kutanguliza hisia bila evidence ya hisia zako.
 

Forum statistics

Threads 1,250,505
Members 481,371
Posts 29,736,018