Siasa, Rushwa na Wabunge = Waandishi wa habari?

Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Apr 18, 2009
1,195
232
Mnajua kuwa kila kikao waandishi wa habari huchukua elfu 10,000 au zaidi?

Je walikuwa wapi kufuatilia tetesi za David Kafulila juu ya tuhuma mwanzoni?
Ila kwenye kikao alichoitisha lazima walilamba hizo elfu kumi kumi! Ni wazo tu!
 
Lau kama tungekuwa na waandishi wa habari weledi...na wasiopokea rushwa jamii yetu ingeenda mbali... lakini du!!! one of qualification ya kuwa uandishi wa habari, naomba utaje wewe msomaji mwenyewe.

Is it
A. Kufaulu vizuri sana
B. Kufaulu kule kwa kuelekea kufeli.

Mungu Ibariki Tanzania
 
Pasco wa JF alifikia kuhalilisha rushwa kwa waandishi wa habari, yaani kabisa haimuingii akilini kuwa ile ni rushwa, mwenyewe anaviita vibahasha na anakiri kabisa kuvipokea vyake na vingine kuvigawanya kwa waandishi wengine.

Huo ndio uozo uliopo Tanzania.
 
Nadhani ni wale walio feli. Na sijui tatizo ni kitu gani. Wenye ufahamu labda waelimishe, kama sababu ni mishahara midogo au...?
 
Pasco wa JF alifikia kuhalilisha rushwa kwa waandishi wa habari, yaani kabisa haimuingii akilini kuwa ile ni rushwa, mwenyewe anaviita vibahasha na anakiri kabisa kuvipokea vyake na vingine kuvigawanya kwa waandishi wengine.

Huo ndio uozo uliopo Tanzania.
Na hili ndilo linalopelekea waandishi wa habari wakati mwingine kuandika habari tofauti na zile walizoambiwa iwapo kama mhusika hatatoa fungu la kueleweka au kama hajatoa kabisa. Nakumbuka mgomo wa wanafunzi muhimbili kipindi cha Mutabaji, waandishi kwa kuwa walikuwa hawapewi chochote basi walikuwa wanaandika kinyume kabisa
 
Back
Top Bottom